Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

Kakuona boya hadi anakutajia shanga ,ulitakiwa u play kimatendo Zaidi ila ingawa umeoa sawa ila hapo ilikuwa more psychologically move
 
Unamuacha Mke nyumbani unaenda kula na kuangalia Movie kwa Mwanamke mwingine, kuwa makini sana.
 
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.

Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.

Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.

Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.

Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
Umefanya jambo sahihi, hii itakufanya uwe mbali nae kiasi kwamba hata huyo jamaa ake hatapata wasaa wa kuhisi chochote kukuhusu, ungeendelea kua karibu nae ungeuwawa kwa kosa lisilo kosa.
 
Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.

Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.

Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.

Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.

Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
red card
 
Nimecheka kwa hizi comments, eti "ungeomba kuhesabu hizo shanga"!😁
 
1. Siingiaa ndani/chumbani kwa mwanamke hata kama namtegea nimle

2. Sili chakula ambacho amepika mwanamke asiye mke wangu huku najua tuko kwenye harakat za kupasuana.Kwakifup nje ya chakula cha wife sili kwa mwanamke yoyote mwingine

3. Sijawahi toka niko single wala sikuwah kufikiri kunuingiza mwanamke gheto kwangu, mambo yote yanaishia njeee..Gheto kwangu ni mahala patakatifu.
No.3 inaonyesha pamoja na heshima yote kwa mke, bado unakula vya pembeni mkuu😁
 
Kashakuona muongo, kuna wanawake ukishaanza kuwaambia habari za unampenda ndio ushampoteza.
hakuna sauti nzuri au maneno matamu tunayopenda kuyasoma au kuambiwa kama sauti ya atm inavyotoa hela, babe nakutumia hela ya lunch hapo, au umepokea sh kadhaa kutoka tigopesa hayo nakupenda ni makelele.
 
Yaani kwa level mliyokuwa mmefika ukamtongoza tena?😂😂😂😂umezingua.

kakukataa kwasababu kakuona ni mwanaume beginner kwenye kuelewa hisia za wanawake....hadi shanga zake unazijua, sasa wewe ulitaka akuoneshe nini zaidi ili ujue alishakuelewa .
 
Umetegewa penati umepaisha, sa mtu ana mchumba, we unamwambia unampenda, unataka akijibu nini?🤣🤣
Akikujibu nakupenda pia anaona utamuona Malaya, ye tayari ana mtu....akikujibu sikutaki, atakupoteza, alitaka we umtoe Upwiru🤣....kuna maswali hayana majibu🤣

Halafu wewe ni sideman tu, hayo mambo ya nakupenda achia main man....ni Kama vile tu nyie mkiendaga kuvua kimboka🤣🤣🤣 mambo hayawagi mengi🤣
 
Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine...
 
Kwa sababu hamsikii ngoja waendelee kuwa umiza vichwa
 
hakuna sauti nzuri au maneno matamu tunayopenda kuyasoma au kuambiwa kama sauti ya atm inavyotoa hela, babe nakutumia hela ya lunch hapo, au umepokea sh kadhaa kutoka tigopesa hayo nakupenda ni makelele.
Si mshasema mimi ni nani nipinge
 
Jichunge ndugu yangu,
Una ule mstari kwenye wimbo you bukuku ''na hapa ndio jijini mbeya?
hizi ngeu ndio zawadi yangu?

sasa ukiendelea na siku ikafika wakati huo huna meno yote ya mbele na kiuno imegoma kukaa sawa itakua hivi na "hapa ndio kazini kwako "kikaniki na hayo"mapengo ndio zawadi yangu "

hiyo mambo kafanyie huko pasipojulikana lakini sio kwako wala kwake
@Tlaatlaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimechek san
 
Zamani sana wakati nipo kijana mbichi niliwahi kuwa marafiki na msichana mmoja urafiki wa karibu mno!

Siku moja nimekaa nae tunapiga stories tukajikuta tupo zero distance, nikawa nampapasa manyonyo , namshikashika mwili wake yeye kakaa kimya tu anagugumia zile hisia za aaasssssss......sssssssss.......

Nilipofika hatua ya kutia mkono wangu ndani ya chuppppi yake kalowana balaa, nikamtazama usoni nikamwambia (fulani........hapa taja jina lake) naomba nipe Qummma nikut*****mbe.

Alikasirika akaondoka zake. Baada ya siku kadhaa akaja nambia kwanini nilimuomba ilhali alikuwa keshalowana ilikuwa ni suala la kuvua tu na kukobeka chuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom