Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

Nimekosea kutafsiri au nipo sahihi?

Nimekutana na mdada mmoja, tukaanzisha urafiki (sio wa kimapenzi). Ikafika mahali tukawa tunapiga stories nyingi tu. Mdada hajaolewa ila ana mchumba wake. Mimi nimeoa.

Huyo dada huwa ananipigia stories za mapenzi namna ambavyo huwa anafanya na mchumba wake, mitindo anayoipenda. Ananitajia shanga alizovaa kiunoni mpaka idadi yake.

Weekend ananiita naenda kwake, anapika na tunakula na kuangalia movies.

Akili ikanituma kuwa, huyu dada ni mimi tu namchelewesha. Ikabidi nimtupie neno la kumtongoza. Ajabu ni kuwa, amekasirika wiki ya tatu sasa. Hakuna cha calls, meseji wala ku-view status zangu.

Nimekosea wapi? Ningefanyaje?
ulichokosea ni pale ulipomtongoza na alipokuchunia nawe ukanyamaza,ilitakiwa ukaze buti na uzidi kumtongoza tena kwa kulia kabisa
 
Wewe ni mjinga. Samahani. Hakuna neno lingine la kutumia
 
Blazaaaaaa demu kakuwekea mpaka mitego umeshindwa kumlaa.. yani kakutengenezea mazingira wee.. mademu wengine hawapendi maneno mengi yani wwe ingia kula afu kausha sasa subiri kutangaziwa jogoo hapandi mtungi[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upele haumpati mwenye kucha
 
Senge kweli wewe

ndio maana kila kukicha tunatukanwa wanaume hatujui kusoma alama za nyakati. Mbwa kainua mkia halafu unauliza mnduku uko wapi!?
 
Uwe unapitia nyuzi za wenzako ungepitia Uzi wa kula kimasihara usingekuja huku kuomba ushauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom