Nimekosea kujaza wilaya kwenye fomu ya HESLB

Sep 20, 2015
22
61
jaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
 
jaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
Unapo omba msaada hakikisha unaweza wazi kila kitu ili kila mtu ajue unaongelea nini...si wote w
tunasoma humu lakini tunaweza kukusaidia!
 
yaan nimekosea kuandika wilaya baada ya kinondoni nikaandika ilala sasa nishaprint kama kuna mtu anaexperience na haya mambo anisaidie
 
jamani wadau kwa yeyote anaye fahamu kuhusu kuambatanisha cheti cha form six kwenye form ya mkopo kwa sababu wengine tumemaliza mwaka huu hatuna hicho cheti inakuaje??
 
jamani wadau kwa yeyote anaye fahamu kuhusu kuambatanisha cheti cha form six kwenye form ya mkopo kwa sababu wengine tumemaliza mwaka huu hatuna hicho cheti inakuaje??
Ambatanisha ulivyo navyo coz hata wenyewe wanaelewa kuna watu wamemaliza dis yr
 
jamani nisaidieni ... mm nilikuwa nalipa kwa mpesa ila nimekosea na pesa imekatwa .. je inaweza kurejeshwa ??
 
Back
Top Bottom