amos nicholaus
Member
- Sep 20, 2015
- 22
- 61
jaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
Bado hujaeleweka fafanua Ilala badala ya Temeke kivip?jaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
Unapo omba msaada hakikisha unaweza wazi kila kitu ili kila mtu ajue unaongelea nini...si wote wjaman nisaidien nimeselect ilala baada ya kinondon kwenye kuomba mikopo alaf nishaprint vp inakuwaje maana nimechanganyikiwa
Unapapenda ilala joking hahaaa...I guess no effects kama kote umeandika hivyoyaan nimekosea kuandika wilaya baada ya kinondoni nikaandika ilala sasa nishaprint kama kuna mtu anaexperience na haya mambo anisaidie
Ambatanisha ulivyo navyo coz hata wenyewe wanaelewa kuna watu wamemaliza dis yrjamani wadau kwa yeyote anaye fahamu kuhusu kuambatanisha cheti cha form six kwenye form ya mkopo kwa sababu wengine tumemaliza mwaka huu hatuna hicho cheti inakuaje??
sawa asante nimekuelewaAmbatanisha ulivyo navyo coz hata wenyewe wanaelewa kuna watu wamemaliza dis yr
ulikosea nini mkubwa?miss confidence .......mm naambatanisha na barua ya kukosea
hahhahahhahhahahhaahhahahUmekwisha tafuta fedha za kujisomesha
thats the pointmiss confidence .......mm naambatanisha na barua ya kukosea
mimi nilikosea wilaya...ninayoishi