trash official
Member
- Dec 22, 2016
- 34
- 16
Chuo gani hicho mkuu ?Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
Hii ni basic certificateNTA level 4 hivi ni certificate au ni pre-certificate au ni auxiliary course?
Nimefikiri hivyo pia Ila tatizo linakuja kwenye uchaguzi wa masomo ambayo nitaweza kujiajiri
Ngoja January....
Vijana wengi wa Kitanzania, baada ya kukosa nafasi hapa Bongo(kutokana na viwango vipya vya ufaulu) wengi wamejuinga na vyuo vya Makerere University (Uganda) na wengine wako Kenyatta University (Kenya)....
January kuna Intake mpya huko Kenya fanya kufuatilia ili upate nafasi huko.... Hapa Bongo na serikali hii ya Maigizo usitarajie mapya.
Jonnie diploma ni miaka mitatuKwanini hukuomba diploma... Miaka kadhaa iliyopita na mimi nilikuwa kama wewe. Ikabidi nisome diploma na mwaka huu nimeanza bachelor degree.
Nina div 3 ya 14 ambayo kwa miaka iliyopita wengi wapo chuo na uhakika wa kufaulu nikiresit ninao Ila tatizo ni kwamba sina historia ya mtu aliewahi kuresit masomo haya akafanikiwa , nimeanza diploma ambayo ni miaka mitatuUmependa uanze Certificate ama wamekupangia wao?
Kama una Principle moja na Subsidiary moja basi wewe ungepaswa uanze na Diploma moja kwa moja.
Kama upo tayari kureseat mtihani wa Form Six na unaamini utafaulu basi Go Ahead. Kafanye mtihani na mwakani utazama Chuo.
Dogo acha kuzingua,ulicheza darasani ukafeli,nenda kare sittMimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
omba chuo hivohivo kuna uwezekano idadi isipotimia huwa wanashusha kiwango, pia omba na diploma ili ukikosa degree uanzie diplomaMimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha sita 2016 ila nilikosa alama D moja katika mchepuo niluokua nikiuchukua PCM , NIFANYE NINI KUTOAPLY DIPLOMA ?? Nimefika chuo inanilazimu nianze level 4
Nategemea ushaur mzuri ,... Asanteni
Diploma mfano ya mechanical ni mwaka mmoja au miaka mitatu??omba chuo hivohivo kuna uwezekano idadi isipotimia huwa wanashusha kiwango, pia omba na diploma ili ukikosa degree uanzie diploma
inaweza kuwa miwili au mitatuDiploma mfano ya mechanical ni mwaka mmoja au miaka mitatu??
VimepunguZwa au vitapunguzwa ndugu??subiri mwak wa masomo 2017/2018 kwa ajili ya degree viwango vimepunguzwa