M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 #1 Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Jan 4, 2017 #2 mama mtarajiwa said: naowapenda siwezi kuwatongoza wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke Click to expand... Endelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda.
mama mtarajiwa said: naowapenda siwezi kuwatongoza wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke Click to expand... Endelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda.
naan ngik-kundie JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 1,766 Reaction score 2,435 Jan 4, 2017 #3 mama mtarajiwa said: naowapenda siwezi kuwatongoza wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke Click to expand... Mficha maradhi kifo umuumbua.
mama mtarajiwa said: naowapenda siwezi kuwatongoza wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka nabaki nalia na upweke Click to expand... Mficha maradhi kifo umuumbua.
M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 Thread starter #4 nina miaka 35
M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 Thread starter #5 Compact said: Endelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda. Click to expand... mimi ni mwanamke
Compact said: Endelea kulia. Siku ukijitambua utanyamaza na utaanza kutongoza unaowapenda ama utaanza kuwakubalia usiowapenda. Click to expand... mimi ni mwanamke
Aadilu JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 645 Reaction score 464 Jan 4, 2017 #6 Kutongoza unashindwa hata lugha ya ishara nayo inakushinda?
Musundi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,584 Reaction score 2,613 Jan 4, 2017 #7 Nikuombe twende inbox labda naweza nikawa chaguo lako!!
M Markomx JF-Expert Member Joined Apr 23, 2016 Posts 711 Reaction score 764 Jan 4, 2017 #8 mama mtarajiwa said: nina miaka 35 Click to expand... Taja na idadi ya watoto ulionao,
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 4, 2017 #9 binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo
M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 Thread starter #10 Markomx said: Taja na idadi ya watoto ulionao, Click to expand... sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
Markomx said: Taja na idadi ya watoto ulionao, Click to expand... sina watoto sijawai kuzaa najiheshimu sana sikupenda kuzaa nje ya ndoa
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,111 Jan 4, 2017 #12 Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu.
Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu.
M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 Thread starter #13 miss chagga said: binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo Click to expand... nifanyeje mimi mwenzenu?
miss chagga said: binti kuwa na mitego ya kumvuta mwanaume umtakaye acha kulia... halafu wanaokupenda ndiyo wazuri utajifunza kumpenda .. unayempenda atakusumua mnoo Click to expand... nifanyeje mimi mwenzenu?
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 5,782 Reaction score 11,019 Jan 4, 2017 #14 tatizo MATCHING ITEM au MULTIPLE CHOICE.......?
M mama mtarajiwa JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 290 Reaction score 449 Jan 4, 2017 Thread starter #15 Mangi flani hivi said: Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu. Click to expand... kwanini afe?
Mangi flani hivi said: Yaani nyie ndo mkipataga ndoa, lazima mwanaume afe.... Kwa jinsi mnavyobadilika na kuwa Kama chui vile. We zaa tu. Click to expand... kwanini afe?
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,950 Jan 4, 2017 #16 APEFACE said: tatizo MATCHING ITEM au MULTIPLE CHOICE.......? Click to expand...
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Jan 4, 2017 #17 Kama unamiaka 35 unatamani vijana unategemea nini. Yani kama unataka mwanaume size yako unabidi utafte wa mika 50 na kuendelea
Kama unamiaka 35 unatamani vijana unategemea nini. Yani kama unataka mwanaume size yako unabidi utafte wa mika 50 na kuendelea
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 4, 2017 #18 mama mtarajiwa said: nifanyeje mimi mwenzenu? Click to expand... kwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
mama mtarajiwa said: nifanyeje mimi mwenzenu? Click to expand... kwanza mkubali anayekufuata hasa kama anakidhi asilimia 50 ya vigezo vyako.. pili jitegeshe maeneo wanaume unao wataka wanapokaa lazima uingie gharama...
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 33,718 Reaction score 40,366 Jan 4, 2017 #19 ni pm Mimi ndie chaguo lako
DON SINYORI JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 511 Reaction score 418 Jan 4, 2017 #20 ukifika 50 years ndo utajua u lost diamonds while u were too busy collecting stones