Nimekosa msichana kisa ndevu

Pole sana Mkuu
 
Mh...eti umeumia,wakati msichana mwenyewe ulikuwa unamtaka kwa show fupi...sasa kuuma hiyo vipi bana..
 
Umeumia na ulikuwa unaenda kutumika [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mh...eti umeumia,wakati msichana mwenyewe ulikuwa unamtaka kwa show fupi...sasa kuuma hiyo vipi bana..
Wanaume tunavutiwa upesi kuliko nyinyi na si ajabu pengine angekuwa mama yenu yule kama sio hiyo dhahma iliyonikumba
 
Ni kweli kabisa hapo Tanga kuna hofu kutokana na yanayoendelea, sasa madevu yako ungehisiwa tofauti na wana usalama na kudakwa, naamini siku ya kuachiwa ungenyoa mda huo huo
 
Ni kweli kabisa hapo Tanga kuna hofu kutokana na yanayoendelea, sasa madevu yako ungehisiwa tofauti na wana usalama na kudakwa, naamini siku ya kuachiwa ungenyoa mda huo huo
Kweli mkuu haswa ikizingatiwa wenyeji wa kule wamezoea amani na ukarimu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…