Nimekosa msichana kisa ndevu

Nimekosa msichana kisa ndevu

Mi nahisi alijiuliza hivi "kama kidevu kiko ivi je kule maeneo si ndo adi pananuka?? Na je ikitokea kwene msuguano si ntabaki nauguza majeraha ya kuchanwa na steel wire??"
Basi atakuwa ana matatizo binafsi kwa kulinganisha madevu yenye heshma (ambayo mpaka yanang'aa nimetumia pesa nyingi kuyatunza) na sehemu nyingine kwa hisia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom