Nimekosa msichana kisa ndevu

Nimekosa msichana kisa ndevu

Hapana mkuu ila si unajua tena ujana wendawazimu, nimeweka madevu na imeshakuwa mazoea kwangu yaani hata nikienda saloon jamaa akizigusa tunagombana.
Mwenyeezi Mungu amekupenda saaaaana tena saaana "kwa kukuepusha na Masayibu ya zinaa..(Magonjwa/balaa/mikosi/njaa na ufakiri wa kudumu) !! You are luck... tafadhali FEAR GOD !!
amekupa fursa ya kuishi vizuri....
 
Hata mimi midevu kama steel wire big no sipendi japo sitafsiri ugaidi bali sipendi tuu naona kero. Kama ushajua kosa lako jiongeze aidha kwa kumpata atakaeyapenda au nyoaaaaaaaa, the choice is urs.
Sasa kumbe wewe pia hupendi mh! Ila kuondoa hii kitu kwangu ni vigumu rabda nikutwe na tukio zito zaidi
 
Hata mimi midevu mingi cpendiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
madevu yakiwa mengi namna hii hata nikiishiwa mawazo au nikikwama jambo, nikizigusa tu napata akili mpya na kuona nashindwaje kidume mimi
 
madevu yakiwa mengi namna hii hata nikiishiwa mawazo au nikikwama jambo, nikizigusa tu napata akili mpya na kuona nashindwaje kidume mimi
Ulipokataliwa, ukazigusa ukajua tatzo lako ni hilo, mbona huyang'oi sasa??????
 
Hata mimi midevu kama steel wire big no sipendi japo sitafsiri ugaidi bali sipendi tuu naona kero. Kama ushajua kosa lako jiongeze aidha kwa kumpata atakaeyapenda au nyoaaaaaaaa, the choice is urs.
Midevu ndo fresh labda hujawahi kusuguliwa na kidevu pande zako za hapo juu kidogo kwa bibi
 
Ha ha ha

Mkuu nyoa ndevu ufaidi aiseeee, hii dunia watu siku hizi wako chonjo sana na uhai wao aiseee.
 
Ha ha ha

Mkuu nyoa ndevu ufaidi aiseeee, hii dunia watu siku hizi wako chonjo sana na uhai wao aiseee.
Mkuu mambo haya yalinifikirisha sana na yote hii ni wale waliochinja wenzao ndio waliosababisha, yaani yule mtoto mpaka leo hii roho inaniuma sana nikikumbuka lile shepu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom