Nimekosa mke wa kuoa mpaka leo hii

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,103
3,469
Habarini Wadau,

Sijajua tatizo ni nini. Mpaka leo hii kila mdada ninaekua nae in relationship kwa lengo la kuja kuoana nae basi nakuja gundua mapungufu mengi tu ambayo yananipelekea kuto kumwamini kama atakua mwema katika maisha ya ndoa.

Nimejaribu so many girls lakini la hawajafanania tu na vile mke anavyotakiwa kuwa. Sasa miaka inasonga now na utu uzima waja.

Nahisi nina mkosi kwa kukosa mke mpaka sasa.Wadau hebu nisaidieni njia gani mlizitumia ili kumpata umpendae?

Msaada tafadhali.
 
Habarini Wadau.
Sijajua tatizo ni nini. Mpaka leo hii kila mdada ninaekua nae in relationship kwa lengo la kuja kuoana nae basi nakuja gundua mapungufu mengi tu ambayo yananipelekea kuto kumwamini kama atakua mwema katika maisha ya ndoa.
Nimejaribu so many girls lakini la hawajafanania tu na vile mke anavyotakiwa kua.
Sasa miaka inasonga now na utu uzima waja. Nahisi nina mkosi kwa kukosa mke mpaka sasa.
Wadau hebu nisaidieni njia gani mlizitumia ili kumpata umpendae?
Msaada tafadhali.

Wewe ndo unatatizo la kutokua mvumilivu ndoa ni uvumilivu tuu hakuna kingine
 
Habarini Wadau.
Sijajua tatizo ni nini. Mpaka leo hii kila mdada ninaekua nae in relationship kwa lengo la kuja kuoana nae basi nakuja gundua mapungufu mengi tu ambayo yananipelekea kuto kumwamini kama atakua mwema katika maisha ya ndoa.
Nimejaribu so many girls lakini la hawajafanania tu na vile mke anavyotakiwa kua.
Sasa miaka inasonga now na utu uzima waja. Nahisi nina mkosi kwa kukosa mke mpaka sasa.
Wadau hebu nisaidieni njia gani mlizitumia ili kumpata umpendae?
Msaada tafadhali.

Shida role model wako ni Regina Lowassa; hawapatikani kila siku hao hata Josephine na Juliana Shonza nao ni wanawake jamani
 
Last edited by a moderator:
okey sijajua unafanya kazi gani but all in all kama umeamua kuoa ni kheri inabidi ujiandae vizuri. Kabla hujaona hakikisha una
1 nyumba ya kuishi
2 kazi ya kipato
3 akiba
4 heshima na busara
5 elimu
ukishakua navyo ivyo hiyo ni hatua ya kwanza
unatakiwa uwe na mpole kama njiwa utapata yule akupendaye
nb:tabia yako yaweza kukusababishia upate pasua kichwa badili tabia kua kama baba
 
Compromise your standards, Chief. Could be that you looking for a stand-out, while you're the type to attract the coca-cola bottles, and vice versa.
 
okey sijajua unafanya kazi gani but all in all kama umeamua kuoa ni kheri inabidi ujiandae vizuri. Kabla hujaona hakikisha una
1 nyumba ya kuishi
2 kazi ya kipato
3 akiba
4 heshima na busara
5 elimu
ukishakua navyo ivyo hiyo ni hatua ya kwanza
unatakiwa uwe na mpole kama njiwa utapata yule akupendaye
nb:tabia yako yaweza kukusababishia upate pasua kichwa badili tabia kua kama baba

Nimeipenda iyo aiseeee vijana wasikuizi masharo hawana tabia zaubaba kabisa
 
Back
Top Bottom