Nimekosa hamu kufuatilia Bunge

Nimekosa hamu kufuatilia Bunge

kitu ambacho mwanasiasa anassema kweli ni jina lake tu
Ni kweli Putin V,kwa jinsi Chadema ilivyokuwa ikiendesha mambo yake kwa kushikilia Sera ya kuupinga ufisadi kwa nguvu zote,viongozi wakweli ambao hata ukiwaona usoni unajua huyu anazungumzia vitu vyenye logic,mvuto ushawishi na hamasa kubwa,uwezo wa kujenga hoja kuichambua na kuifafanua kwa kina,hakika ni chama ambacho kilikuwa kikifuatiliwa na watu wa rika karibu zote.Walikuwepo viongozi ambao hata serikali ilikuwa ikifuatilia kauli zao kimya kimya,watu waliaminishwa kuwa fulani,fulani na fulani ni wahalifu wa Ufisadi Mkubwa kabisa nchini tena kwa kutamkwa hadharani bila kumumunya maneno na kwamba anayeona kachafuliwa aende mahakamani akalalamike.Waliotajwa hakuna hata mmoja aliyejitokeza kwenda mahakamani kuomba asafishwe,jambo ambalo liliwapa Imani kubwa wananchi kwa viongozi hao wa Chadema,wakati chama tawala kikimtafuta na kumtangaza mgombea wao Chadema walikuwa wamejifungia vyumbani huku wakisikiliza nani Anakatwa huku wakiwa na matumaini tele juu ya huyo waliyemchafua kwa miaka tele,na kusahau kujiimarisha kimtandao hadi ngazi ya chini kabisa waliko wapiga kura wengi,gea zimebadilishwa Angani na Falsafa sahihi za Ufisadi ukawa ni Msamiati usiokuwemo tena ktk Misahafu ya Chadema na akili yote ikawa ni Kukamata Dola mengine baadaye,poleni kwa yote,Kampeni Uchaguzi umepita na Kiongozi Mkuu wa nchi ameshachaguliwa na kuapishwa,mengine yote baada ya hapo hayana Tija kwa mama yetu Tanzania zaidi ya kufanya kazi kwa bidii tena kwa Kukimbia mchaka mchaka maana tumechelewa mno wenzetu wako mbali.
 
sidhani kama hamu yangu itarudi
 
hata Nape anaonekana kuingia mjengoni kimalengo fulani ya kuvuruga kusaidianan na Bajaji

Unafikiri kujenga hoja ni kupuliza trumpet?ulitaraji huyu kwa ufahamu wake afanye nini bungeni ?
 
Back
Top Bottom