Mkuu Amavubi! Miaka yote uwiano haujawahi kuwepo.... Mwaka huu WAKIWA mlikuwa na nafasi kubwa ya kupunguza gap kama sio kuwa na majority bungeni. Ghafla mahaba yaliwaingia mkapoteza DIRA na MVUTO kwa Watanzania wa kawaida ambao ndio wengi. Na hili ni Jeraha zito ambalo matibabu yake ni ya muda mrefu.... Mlikuwa mkionekana kama chama Mbadala cha Kutengeneza Serikali Mbadala mkijigeuza kuwa MAJINUNI waliojitoa FAHAMU baada ya kuzungumza sense na sera zenu zinasimamia nini...Mkaja habari kuwa nyinyi ni majemedari kama MAMVI sio rais BORA hata MCHAGUE JIWE.... Kwenu the most important thing ilikuwa ni MAMVI awe raisi hamkujali Madiwani wa wabunge.... Look here my friends CCM wamenyakua kata 1022 za UDIWANI VS 200+ za CHADEMA........ Wabunge CCM 180+ VS CHADEMA 35 ...... Kweli mlikuwa mnataka Uwiano...Kibaya zaidi Chama chako kiliamua kugeuka mila na desturi za kuamini na kufanyia kazi tafiti za kisayansi na kuanza kuruhusu WAPIGA RAMLI wakubwa kama MZEE WA MISUKULE, na Kile KIBABU MLIKOKITOA CCM wawe majemedari wakuu na kuwapa DIRA..... POLE SANA.... JIPANGENI UPYA !!!