Nimekosa hamu kufuatilia Bunge

Nimekosa hamu kufuatilia Bunge

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Bado siamini kama ni mimi ambaye nilikua karibu ya kuugua ninapokosa kipindi cha Bunge pindipo nina fursa hamu imekwisha kabisa naona mauzauza tu na nimekata tamaa sana nahitaji kuhuishwa upya.
 
Kwani umeona nini leo??Wengine tupo mbali sana na hizo media so please weka kidogo japo in brief nasi tujue nini kinaendelea.
Jf ndio imekuwa chanzo changu kikubwa cha habar na angalau inanisaidia kujua nini kinaendelea
 
hali inayoendelea na itakayoendelea inanikosesha hamu ya bunge na si leo tangu hata kabla halijaanza nilishaona baada ya kukosekana kwa uwaino wa maamuzi
 
uwepo wa nepi ndio umenifanya nisitake kufatilia bunge hili
 
wakat spika anaapishwa kuna mtu wa ccm nadhan akwasha mike akasema endeleen kuisoma namba ccm ni ile ile!!!! nikasema duh kazi ipo kama thinking ndio hii inasikitisha sana!!!
 
Fafanua

Bado siamini kama ni mimi ambaye nilikua karibu ya kuugua ninapokosa kipindi cha Bunge pindipo nina fursa hamu imekwisha kabisa naona mauzauza tu na nimekata tamaa sana nahitaji kuhuishwa upya.
 
Mkuu Amavubi! Miaka yote uwiano haujawahi kuwepo.... Mwaka huu WAKIWA mlikuwa na nafasi kubwa ya kupunguza gap kama sio kuwa na majority bungeni. Ghafla mahaba yaliwaingia mkapoteza DIRA na MVUTO kwa Watanzania wa kawaida ambao ndio wengi. Na hili ni Jeraha zito ambalo matibabu yake ni ya muda mrefu.... Mlikuwa mkionekana kama chama Mbadala cha Kutengeneza Serikali Mbadala mkijigeuza kuwa MAJINUNI waliojitoa FAHAMU baada ya kuzungumza sense na sera zenu zinasimamia nini...Mkaja habari kuwa nyinyi ni majemedari kama MAMVI sio rais BORA hata MCHAGUE JIWE.... Kwenu the most important thing ilikuwa ni MAMVI awe raisi hamkujali Madiwani wa wabunge.... Look here my friends CCM wamenyakua kata 1022 za UDIWANI VS 200+ za CHADEMA........ Wabunge CCM 180+ VS CHADEMA 35 ...... Kweli mlikuwa mnataka Uwiano...Kibaya zaidi Chama chako kiliamua kugeuka mila na desturi za kuamini na kufanyia kazi tafiti za kisayansi na kuanza kuruhusu WAPIGA RAMLI wakubwa kama MZEE WA MISUKULE, na Kile KIBABU MLIKOKITOA CCM wawe majemedari wakuu na kuwapa DIRA..... POLE SANA.... JIPANGENI UPYA !!!
 
Unayoyasema huenda yakawa kwli au la lakini jambo moja ambalo liko wazi ni kwamba chama tawala walitumia NEC.
 
wakat spika anaapishwa kuna mtu wa ccm nadhan akwasha mike akasema endeleen kuisoma namba ccm ni ile ile!!!! nikasema duh kazi ipo kama thinking ndio hii inasikitisha sana!!!
na bado utasikia mengi mike zitawshwa sana hadi zipauke
 
umeshuka nondo ila bura yangu subadili na rehani

Back
Top Bottom