Atakuwa hajafikiria vizuri akiacha hizo shughuli zakePole Sana Mzee,hapo jipange kivingine..
Mimi jamaa yangu kabahatika this time around,maana Ali Disco Mlimani kozi ya Uchumi mwaka 2012,baadae akajiunga chuo Cha ualimu akahitimu 2015 na Diploma ya masomo ya Sanaa.
Tokea amesugua bench mpaka akakata tamaa lakini nikamwambia aombe,miaka yote aliyoomba alikosa..
Leo hii nimeangalia nimeliona jina,kafurahi hadi kanywa pombe huko hasomeki..
Ila sasa namhurumia maana salary ya Diploma ni ndogo na Bodi ya mkpo itachukua chake haijalishi uli disco au laa..
Ila jamaa yangu alishaanza life lake kitambo,ana mke na watoto 2 na alishajenga nyumba ya kawaida na ana mifugo na Kazi za ufundi..
Sasa anatakiwa kuhama huku aliko na ni mjini aende kwa kina Mwigulu huko Vijijini.
Kwa nini?Atakuwa hajafikiria vizuri akiacha hizo shughuli zake
Nimecheka kifala 😂😂😂😂..Ndio maana niliacha kuomba kazi, unaenda interview na vitoto vidoogo mpaka aibu.
Komaa kivingine ndugu.
Muda sio rafiki na ni roho kamili.
Hata hao Takukuru walikuwa na watu wao. Walikuwa wana waomba hao watumishi wa Tamisemi wawapange jamaa zao.Inasemekana connection zilikua nyingi kila staff ana majina mfukoni hadi Ilibidi takukuru waingilie kati, nchi ngumu sana hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ualimu au siyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila hii kada ya ualimu inapitia magumu kwenye hizi ajira aisee.
Yaani wao ni mpaka serikali itangaze!?? Ni mwaka hadi miaka!
Wengine huku kitaa washaachana na hizo mambo za kuomba ajira, washajitoa kwenye mfumo wanapiga ishu zao kitaa.
Wanalalamika sana hawa watuUsiogope, Mungu ni wa wote, ipo siku yako tu.
kaoshe nyota bhana!!!Ndugu zanguni nimekosa ajira tena!
Nikiamini kwa 75% kuwa Kama tumetumia namba za NIDA basi umri na mwaka wa kumaliza chuo vitanibeba lakini wapi!
Mwaka wa kuhitimu chuo kikuu 2015, umri wangu miaka 34 lakini nimepiga gape na vitoto vya mwaka 2020 na umri wa chini ya 25!
Serikali kweli walikaa na kuamua kuajiri BAED 600 seriously! Yaani kwakundi kubwa lililopo Bora ningeenda hata msingi lakini niajiriwe.
Wewe bashungwa Kama uemhusika kwenye huu mchakato Mungu akusimamie katika magumu unayopitia.
Binafsi ninakinyongo sio kwasababu nimekosa hapana ila kwasababu nimekosa kisha akapata wa mwaka 2020 ambae nae ni Sanaa Kama Mimi.
Yaani hapa mpaka tumbo linanikata kwa maumivu lakini poa tu maisha ndio haya haya.
Huyu huwa namhisi ni Deo Kisandu aka Nalimison!Oyaa wewe mpwayungu village unaitwa huku
Sasa kwanini anataka kuacha kazi yake akafanye kazi ya kuajiriwa? Yaani waalimu hawa kwanini hawajiongezi?Pole Sana Mzee,hapo jipange kivingine..
Mimi jamaa yangu kabahatika this time around,maana Ali Disco Mlimani kozi ya Uchumi mwaka 2012,baadae akajiunga chuo Cha ualimu akahitimu 2015 na Diploma ya masomo ya Sanaa.
Tokea amesugua bench mpaka akakata tamaa lakini nikamwambia aombe,miaka yote aliyoomba alikosa..
Leo hii nimeangalia nimeliona jina,kafurahi hadi kanywa pombe huko hasomeki..
Ila sasa namhurumia maana salary ya Diploma ni ndogo na Bodi ya mkpo itachukua chake haijalishi uli disco au laa..
Ila jamaa yangu alishaanza life lake kitambo,ana mke na watoto 2 na alishajenga nyumba ya kawaida na ana mifugo na Kazi za ufundi..
Sasa anatakiwa kuhama huku aliko na ni mjini aende kwa kina Mwigulu huko Vijijini.
Yaani aache basic ya 653,000 Ili aendelee na Kazi za ufundi za kubangaiza?Sasa kwanini anataka kuacha kazi yake akafanye kazi ya kuajiriwa? Yaani waalimu hawa kwanini hawajiongezi?
Watu wanaongeaga tu nyuma ya keyboard ila kwa ground mambo tofauti yaani mkuu hata usishangae komenti kama hizoYaani aache basic ya 653,000 Ili aendelee na Kazi za ufundi za kubangaiza?
Angekuwa fundi mkubwa na anapata mapato zaidi ya hayo asingeenda
Huwezi acha pension wakati una maisha ya kubangaiza,uache Bima,na fursa zingine nk..Watu wanaongeaga tu nyuma ya keyboard ila kwa ground mambo tofauti yaani mkuu hata usishangae komenti kama hizo
Wengi tunapenda kuajiriwa serikalini kwa sababu ya security
Kwamba hata nikiumwa ,hata nikiwa likizo bado ela inaingia bado nina mafao
Hakuna asiyejua hili