Nimekoma sizami chumvini tena

Nimekoma sizami chumvini tena

Nyie ndio mnaaondoa maana kamili ya MMU, kila siku mnakuja na hadhithi za kutunga mpaka mnachosha kwa kweli
 
Duh we noma rudia tena utajikuta umeachwa stendi mtupu.... Unajiondoa stresss na kungonoka .....
 
Hahaha......ulijua upo wapi? Hlf siku hiz umeadimika km miguu ya nyoka
nimeibiwa simu mkuu daaaaaaaaaaaah sina hamu ntainuka j3 kwenye muda wa mwajiri halaf jf siku hizi hainogi hata kidogo
 
Jamani nina hali mbaya kiuchumi nitumieni hata mia 5 mia 5 jamani nakufa na njaa mwenzenu.
 
nimeibiwa simu mkuu daaaaaaaaaaaah sina hamu ntainuka j3 kwenye muda wa mwajiri halaf jf siku hizi hainogi hata kidogo
ooh! pole sana mkuu, natumai umefanikiwa kununua nyingine lkn au tukuchangie?
 
Yaani ukaanza kula papuchi ya mwanamke uliyekutana nae Bar. Aisee ni mmelogwa au? Duh kuna watu hawanaga kinyaa!!
 
Jamani nina hali mbaya kiuchumi nitumieni hata mia 5 mia 5 jamani nakufa na njaa mwenzenu.
Aliyekwambia ukifungua thread JF umepata bingo kakudanganya. Kaendelee na deiwaka, utapata zali japo la mia 5. Kwa heri. Nyambaf!
 
Habari zenu wana MMU
Aisee jana kunako disko la wadutya nilienda kujipunguzia msongo wa mawazo wa mwezi januari jinsi ulivyonitesa kwa kunifanya nishinde njaa kutokana na kutumia pesa vibaya mwezi Disemba katika sikukuu za krismas na mwaka mpya,

Kipindi napata kinywaji akaja mdada fulani kutaka kujumuika nami nikamkubalia aisee baada ya muda kupita tukajikuta tupo hoi miili inatamani ngono isivyo kawaida , Ikanibidi nichukue chumba pembeni ya pub ya wadutya kuna guest inaitwa UPENDO guest house,

Tulipofika chumbani tukavua nguo zote ile nataka kuanza kutandika mzigo mdada akawa anadai nimutafune kwanza papuchi ndo huwa ananyegeleka vizuri,

Ndugu zangu nakumbuka nilianza kutafuna polepole ile nakuja kuzinduka sina simu yangu ya samsung na card ya bank ameiba nilikuwa nimenote kwenye kijikikaratasi kilichokuwa kwenye kijimfuko cha card ya bank namba za siri,

Yaani nimechanganyikiwa ndugu zangu sina hata pesa ya kula aisee sijui aliweka madawa ya kulevya kwenye papuchi?
Nahitaji msaada wenu ndugu zangu nitakufa na njaa Mtanzania mwenzenu.
Wadutya ndo wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom