:::::salutation:::::
Kwanza kabisa nitangulize ombi la msamaha...
Wana mmu,kwa heshima yenu najishusha chini ya miguu yenu,kwa roho ya ukunjufu kuomba msamaha....
Ni busara wala si upumbavu kuomba msamaha,na nina amini ninyi kama wanadamu mutanisamehe...
Sijui nisemaje,nahisi bado sitaeleweka,but all in all ni kwamba sikuwa na nia hiyo ambayo mliniandamia....
Labda nilikosea kuframe mada,nilikosea presentation ya mada, nilifanya kosa kubwa la kujivika uhusika wa uyahaya ama labda nilitumia mafumbo magumu...
Nadhani almost 98% ya wachangiaji,waliipokea mada tofauti ba nilivyotarajia, meaning that ni mimi mwenye makosa wala si busara kuwashtaki wachangiaji...
Waungwana,maomba munielewe,kama na hapa nisipoeleweka basi nitakuwa na matatizo....
Kiuhalisia nilikuwa najaribu kuwaasa wadada hasa wachuo kwamba wapo watu anaotumia pesa zao,tena kwa gharama yoyote kupata papushka,tena mbaya zaidi wakijua fika kuwa wamebeba kidudu,na hawahoni ajabu kusambaza ngoma kwa kukusudia.....
Najua wapo ambao bado hawatanielewa,na kuendeleza kumwaga matusi, lakini watambue kuwa hakuna mwanadamu asiyekosea....
Narudia tena na tena kwa msisitizo naombeni msamaha wa dhati, sikuwa na nia mbaya wala tofauti na maadili ya kitanzania,nilikua najaribu kualart kuwa ukimwi upo....
Nataraji mtakuwa mmenisamehe bureee....
Sijui ni kivipi naweza kuiupload ile thread,ili ambao hawaelewi namaanisha nini kuomba huu msamaha waelewe vizuri...
Nisameheni waungwana plz plz plz nieleweni kua sikuwa na nia ya kuchafua maadili ya jf...
"to err is human,to forgive devine"