Nimekoma,nimeumbuka..innocent me!

Nimekoma,nimeumbuka..innocent me!

Uliniudh kweli na ile thread yako nusura nikupe za uso !! Next time ujue namna ya kupresent mada zako ili ujumbe wako uelimishe zaidi na c kujisifiasifia !! Hapa ni kwa magreat thinkers na c huko fb,umeelewa we paparazi ?
 
Last edited by a moderator:

Thanks mkuu...

Hakyamungu God be my witness...
Sikua na nia ya kujisifia wala kujinadi, labda nilijibebesha uhusika usio na maudhui mazuri kwa GT....

Hope umenisamehe, ndg. Munkari...
 
Last edited by a moderator:
Jamani still I'm feeling too suspected and criminalized, nahisi nikiona msamaha ama likes za;

Heaven on earth luofe Mgunduzifoever Happiness mwasheli Rutunga M mwekundu ngalikikihinja
I'll have rest and peace of mind...

Guys lend me a hrt of forgivene, I had no antagonistic intensions....!![/QUO

Ng'wana wane nimekupendaga ghafla gete gete! Huo ndio ubinadamu kujifunza, kujikosoa, kurekebisha na kusonga mbeleeeeee! enjoy your day!

Poa poa sis Happines win...!

Enjoy ya day too....
 
Last edited by a moderator:
Thanks mkuu...

Hakyamungu God be my witness...
Sikua na nia ya kujisifia wala kujinadi, labda nilijibebesha uhusika usio na maudhui mazuri kwa GT....

Hope umenisamehe, ndg. Munkari...

umesamehewa do not repeat it again!! Haya tuma vocha fasta!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee nimeisoma hiyo post kama hukumaanisha wewe basi ulikosea sana ktk kufikisha ujumbe . Mtu yeyote angeamini ni wewe. Ok nami nimekusamehe .
 
Mwenzangu nawe umefika huku...

Mwee leo nimeyakoroga, nimeyanywa mpaka nkavimbiwa....

Vipi na wewe umenisamehe...? Lol

mi hujanikosea!

....punguza utundu Sir J....
teh! walikuparamiajee!!
 
Aisee nimeisoma hiyo post kama hukumaanisha wewe basi ulikosea sana ktk kufikisha ujumbe . Mtu yeyote angeamini ni wewe. Ok nami nimekusamehe .

Yap nami nilivyoipitia nimegundua kuna sehemu nilikosea,especially katika presentation...

But trust me,(MUNGU MOJA) hako kaujumbe hakana uhalisia wowote na mimi,was just a fiction,
but let me hope that you won't oppose me kuwa kuna watu wa aina hiyo kwenye jamii tunayoishi...

Nashukuru kwa msamaha wako

:::::cheering::::::
 
mi hujanikosea!

....punguza utundu Sir J....
teh! walikuparamiajee!!

Acha tu sis Eshy...

Yani nilikula buti za mbavu,nikimwepa za uso mwingine huyoo kakamata kolomelo....

Mods alivyoigonga solex nilifurahije!! Tetetreeereee coz nilikua nishaishiwa mpaka ujasiri wa kubofya keyboard...

All in all nimefurahi jinsi wadau walivyonielewa bila vipingamizi vipingamizi....

Vipi wewe haunisamehi...??
 
Last edited by a moderator:
kwa upande wangu nilifikiri hapa kwa great thinkers unaweza present mada vyovyote utakavyo na ukaeleweka kumbe sivyo, watu tunataka same menu in the same plate ili tuelewe. Big up mada yako ilikuwa ya kufikirisha lakini yenye ujumbe mzito hasa kwa kipindi hiki tulichonacho. Mi niliipenda ingawa nilikuta imeshafungwa.... I like You.
 
si nimekwambia hujanikosea best! au unapenda unikosee! kuwa na amani bhana
 
Last edited by a moderator:
Acha tu sis Eshy...

Yani nilikula buti za mbavu,nikimwepa za uso mwingine huyoo kakamata kolomelo....

Mods alivyoigonga solex nilifurahije!! Tetetreeereee coz nilikua nishaishiwa mpaka ujasiri wa kubofya keyboard...

All in all nimefurahi jinsi wadau walivyonielewa bila vipingamizi vipingamizi....

Vipi wewe haunisamehi...??

si nimekwambia hujanikosea best! au unapenda unikosee! kuwa na amani bhana...

ila mi nakupa pole kwa yaliyokusibu..
 
Last edited by a moderator:
kwa upande wangu nilifikiri hapa kwa great thinkers unaweza present mada vyovyote utakavyo na ukaeleweka kumbe sivyo, watu tunataka same menu in the same plate ili tuelewe. Big up mada yako ilikuwa ya kufikirisha lakini yenye ujumbe mzito hasa kwa kipindi hiki tulichonacho. Mi niliipenda ingawa nilikuta imeshafungwa.... I like You.

Thumb up client3....

Kama ulinielewa nini/wapi nilikua nimegusia, basi nitakuwa mnafiki kama nisipokuita GREATEST THINKER...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom