Nimekoma, Nimekubali wanawake Mwanza wana shape nzuri

Nimekoma, Nimekubali wanawake Mwanza wana shape nzuri

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,190
Habari wakuu! NIMEKOMA, nimekubal!
Najiuliza maswali!

Kila Napita ni balaa, Kila ninayemuona ni shiiida, ni kwamba hawa watu wana kula tofaut?? Nilidhan Labda ni Nyashishi tu, nikaenda Kakebe Yale Yale! Nikaenda Mecca yaleyale! Nikasogea Mabatini ndo balaa. Nikatembelea Usagara ni balaa. Nikaenda Pasians yaleyale, Nyakato ni balaa kwakwel I nimekubali wanawake wa Mwanza wamejaaliwa shepu. 90% wamejazia Unaweza sahau kurud Dar

NIMEKOMA, NIMEKUBALI
 
Habari wakuu! NIMEKOMA, nimekubal!
Najiuliza maswali! Kila Napita ni balaa, Kila ninayemuona ni shiiida, ni kwamba hawa watu wana kula tofaut?? Nilidhan Labda ni nyashishi tu….nikaenda kakebe Yale Yale! Nikaenda Mecca yaleyale! Nikasogea mabatini ndo balaa…nkatembelea usagara ni balaa… nikaenda pasians yaleyale.. nyakato ni balaa kwakwel I nmekubali wana wake wa mwanza wamejaaliwa shep…. 90% wamejazia Unaweza Sahau kurud Dar

NIMEKOMA, NIMEKUBALI
Njoo hapa City Centre Igoma., maua ya dunia yapo kwenye taiti tu.,
 
Njoo hapa City Centre Igoma., maua ya dunia yapo kwenye taiti tu.,
Ila Mwanza inakua kwa Kasi saana, igoma zamani Ilikua ni pori buhongwa huko palikua nje ya mji zamani totozi zilikua zonapatikana pale makoroboi, vitunguu (walipobomoa Soko kuu), the kiss Lakini sasahivi Hadi igoma Kuna pisi duh?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom