Nimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?

Nimekoma mimi - Why mapenzi bado hayajafutwa?

Je kupendana ni lazima?

  • Hapana - Mapenzi yafutwe

    Votes: 14 40.0%
  • Ndiyo - Mapenzi yaendelee

    Votes: 23 65.7%

  • Total voters
    35

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,772
Reaction score
27,175
Nimepatikana aiseeh, mapenzi ni upumbavu tu 💔❤️‍🩹, 2025 uwe mwaka wa mwisho wa mambo ya kupendana.

Kama ni lazima sana, basi tubaki na ngono tu kwa ajili ya kuzaliana ila mahusiano yasiwepo.
  • Mapenzi ni ujinga
  • Mapenzi ni mateso
  • Mapenzi ni maumivu
  • Mapenzi ni utapeli
  • Mapenzi ni uhayawani
  • Mapenzi ni ushen*i
  • Mapenzi ni ufal*a

Mapenzi ni …………… Endeleza lako.
 
Ukishindwa kuelewa picha hii kwa daktari wa akili
FB_IMG_17508278109637934.jpg
 
Back
Top Bottom