nimekoma kutongoza jf!

Bishanga umezidi. Inaonesha chochote wewe ukiona gauni tu hata kama limetundikwa kwenye kamba au kuwekwa juu ya kiti unatongoza. Tahadhari, usije kukumbana na male-shes (au she-males) kizazi cha Cameron.
 
hahahahaaaaaaaaaaaa........!!!!...hahahaaaaaaaaaaaaaa........!!!!!!!!!haaaaaaaaaaaaaaaa.........haaaaaaaaa.......!!!.mia mia mia mia miaaaa.
 
Bishanga umezidi. Inaonesha chochote wewe ukiona gauni tu hata kama limetundikwa kwenye kamba au kuwekwa juu ya kiti unatongoza. Tahadhari, usije kukumbana na male-shes (au she-males) kizazi cha Cameron.

yaani huyu ndugu yangu kazidi. kila shimo anachomachoma tu. hahaaa..!!mia
 
Na umeanza lini kuwa gume gume? Delete upesi kabla shemeji Paw hajasoma manake bahati itakuwa sio yako!

Bishanga na bado! Mwanaume usio na haya wewe wala hujui vibaya, khaaa tena shukuru Mungu hajatokea kidume manake sahizi ungekuja hapa na hadithi nyingine!
nakushangaa,uliona wapi christiano ronaldo anaogopa kupigwa kwanja?
 
Na Erotica kanambia leo mnakutaja jioni, angalia vizuri asijekuwa ndie Ana na Maryam lol.
Erotica tunafahamiana uzuri (hiyo ni kwa taarifa yako) na hata leo jioni nitakuwa naye masters mikocheni tunaangalia mpira na baada ya hapo..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom