Na umeanza lini kuwa gume gume? Delete upesi kabla shemeji
Paw hajasoma manake bahati itakuwa sio yako!
Bishanga na bado! Mwanaume usio na haya wewe wala hujui vibaya, khaaa tena shukuru Mungu hajatokea kidume manake sahizi ungekuja hapa na hadithi nyingine!