nimekoma kutongoza jf!

Halafu we vin wewe,sweetlady mlifahamiana wapi?
Kuanzia natangaza bifu na wewe,SL lishem langu la ukweli ujue? Ohooooooo!!!!

Bifu jambo la kawaida kabisa...hata shetani ana bifu na Mungu na halitaisha...njia bora ya kukusaidieni ni kuwaanzishia umoja wote muumpendao mke wangu kipenzi sweetlady...
 
Last edited by a moderator:
Ilianza hivi,dada mmoja (tumwite Anna) alianza kuniletea viPM vya uchokozi,bishanga nikarespond,tukawa tuna chat. Wiki moja baadae nikapokea PM toka kwa mdada mwingine (tumwite Maryam) tena huyu akawa more straight akanililia shida nikamrushia m pesa. PM zikaendelea mwanawane,mwisho nikapanga ki date na Maryam,akaja,dah mtoto mashallah. Baada ya kufahamiana na maryam huku nyuma bishanga nikaendeleza libeneke na Anna.Jana ndo ilikuwa ki date na Anna pale msasani slipway. Niliwahi nikachukua meza nimekaa namsubiri,akiwa njiani tukawa tuna chat namwelekeza nilipokaa na nilivyovaa.Ghafla namwona Maryam,anatabasamu na kunirushia dongo,we bishanga kumbe hujatulia eh? Dah wacha niwe mdogo kama piriton!
Nimeapa sitongozi tena jf! Lakini na nyie kututega na multiple ID's ndo nini? Acheni hizo,hasa wewe......

Heri yako wewe.....

Mi nilikutana na bonge la njemba. Najua huwezi amini kuwa sweetlady ni bonge la baunsa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom