nimekoma kutongoza jf!

Naomba usistaafu kabla hujanitongoza na mimi, plz.

Unasutwa lini tena, ile show ilinipita kizembe!
Na umeanza lini kuwa gume gume? Delete upesi kabla shemeji Paw hajasoma manake bahati itakuwa sio yako!


Bishanga na bado! Mwanaume usio na haya wewe wala hujui vibaya, khaaa tena shukuru Mungu hajatokea kidume manake sahizi ungekuja hapa na hadithi nyingine!
 
Last edited by a moderator:
nshakwambia bana maryam mtoto mashallah nilikuwa nshakutana naye tayari kisha nikaendelea kumfukuzia Ana upo hapo? Kumbe Ana na maryam ni one n the same person.
Na Erotica kanambia leo mnakutaja jioni, angalia vizuri asijekuwa ndie Ana na Maryam lol.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa........wadada kumbe watamu hivi.....wote tunawataka.....Kumbe ukishikwa ni aibu? ila usipokamatwa sawa tu eee..
 
Hayo ndo matatizo ya tamaa nyingi Bishanga! Ukipata unatulia na huyohuyo mpaka mwisho wa JF.Kwa mfano mimi. Nimeshampata Erotica sitoweza kutazama pembeni tena labda anifanyie uchizi.
 
Last edited by a moderator:
Ilianza hivi,dada mmoja (tumwite Anna) alianza kuniletea viPM vya uchokozi,bishanga nikarespond,tukawa tuna chat. Wiki moja baadae nikapokea PM toka kwa mdada mwingine (tumwite Maryam) tena huyu akawa more straight akanililia shida nikamrushia m pesa. PM zikaendelea mwanawane,mwisho nikapanga ki date na Maryam,akaja,dah mtoto mashallah. Baada ya kufahamiana na maryam huku nyuma bishanga nikaendeleza libeneke na Anna.Jana ndo ilikuwa ki date na Anna pale msasani slipway. Niliwahi nikachukua meza nimekaa namsubiri,akiwa njiani tukawa tuna chat namwelekeza nilipokaa na nilivyovaa.Ghafla namwona Maryam,anatabasamu na kunirushia dongo,we bishanga kumbe hujatulia eh? Dah wacha niwe mdogo kama piriton!
Nimeapa sitongozi tena jf! Lakini na nyie kututega na multiple ID's ndo nini? Acheni hizo,hasa wewe......

Wamefanya vizuri sana,wangejuaje kama wewe ni KICHECHE!!!
 
Hakukosea huyo aliyekwambia hujatulia !
Hivi umeshasahau kama namie ushantongoza mara mbili, kwenye Id zangu zenye taswira ya kike ?
Usikome kiongozi ndo urijali huo .

Na wewe kumbe ni mvunjaji wa kanuni jf na unashiriki kujaza seva yetu sio?
 
Sema we hupigi misele mingi mitandaoni !
Mbona jana kasutwa Twitter! Kama una A/c kule visit utaona, tena kule ndo sana pamoja na fcbk, hapa cha mtoto .

Bishanga? Facebuk? Na umri huu? Kwa lipi hasa?
 
Pole mkuu mwenzangu kwa yote yaliyokukuta! Ila usikate tamaa ndio ulijari huo! Mwanaume hasifiwi kula ila kazi ngumu na ..............!!!

Malizia sentensi basi,unamwogopa nani?
 
Back
Top Bottom