omumwi aka
Member
- Sep 17, 2018
- 75
- 48
Daaaa nimeelewa mkuu oja nzuri sana
Mkuu nimekuuliza sababu nakuhisi bado unampenda,sasa niafadhali umpe adhabu yaishe kama unampenda kweli manake usije ukamuacha mke wakati unampenda itakusumbua sana.Siri yangu ,,baadhi ya wanawake nyie ni balaa
Na bado![emoji23o]
afwadhariiii mimea
Apige chini na wkt bado yuko kwa demu? Labda likizo ikiisha akirudi ndio atapiga chiniKabla hata ya kupata wazo la kuandika huu uzi ulitakiwa uwe tayari umepiga chini Acha kufuga ujinga ndugu yangu
Kwanini usishike simu ya mkeo?Matatizo mengine mnajitakia tu. Ya nini kushika simu ya mwingine wakati na wewe una yako??
Mie sifanyagi ujinga huo
Hapo ndio hatari Mama.Apige chini na wkt bado yuko kwa demu? Labda likizo ikiisha akirudi ndio atapiga chini
Nakumis pia kichwaHapo ndio hatari Mama.
Nimukumiss
Hahahaaaa relax![]()
![]()
waraabu wapemba ..
JF kila mtu ana Mke, kila Mtu ana gari, JF kila mtu ana Nyumba, JF kila ana maisha mazuri
Dah....Asee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
Unafukua tyu kudadekii
Nmejifunza kwa kweliAhahahahh pole sana mkuu, unapoamua kupekua simu ya mkeo hakikisha ndoa umeichoka
Hakika nmepata somo kubwa sana kweli matatizo ndo yanatukomaza kiumeShika simu ya mke wako siku uliyopanga kumuacha.