Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,430
Picha hamna?
[emoji23] [emoji23] hatarii hawa viumbeWangu ndo baraha anatiwa sana Jana nilifuma SMS anamuomba jamaa ampige jicho tena
Bora kukaa single broDuup!! acha niendelee kubaki alone nifurahie maisha tu
Hamna cha Ibilisi wala nini kuchapiwa kupo toka enzi za mababu. Uliambiwa kuwa uyaone ndio haya sasa
Maharage-KibamiaHivi sielewagi mtunzi wa wimbo huo alimaanisha nini haya maneno?
Rudia mkuu arithi na vingineMkuu acha tu ,,,asee nlikua natekeleza kale ka msemo abiria chunga mzigo wako nmekoma sirudiii
Yaani kuchapiwa inauma sana. Alafu unakuta mwanamke anakukandia kwa jamaa huyu boyaa wangu hamna kitu kabisa.
mbaya zaidi ukute hadi tigo anagawa...ukiuliza anakwambia SO WHAT?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka kinomaAkinijibu hivyo aiseeee nawezw shusha kipigo kizito sana na namrudisha kwao straight.. sina muda mchafu mm wa kudharauliwa kias hiko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka kinoma