Nimekoma kushika simu ya mke wangu

Nimekoma kushika simu ya mke wangu

....watu wengi tumekuwa hatujui kwamba zinaa ni deni lazima italipwa,yaani ukimla binti au mke wa mwanaume mwenzio lazima nawe utaliwa either bint au mke wako..
hvyo tuchunge sana hatua zetu tunazopiga na ukiona umechapiwa bint\ mke jaribu kukagua historia yko vzri...

ZINAA NI DENI.
 
Hatujui mkuu tatizo kubwa Nini.
1.hatuko romantic?
2.hatutoi pesa ya kutosha kwa ajili ya service?
3.hatuwagongi kisawa sawa na kuwakojoza?
4.???
Nini hasa ni sababu kubwa?
heri umenisaidia mkuu
 
pole sana mkuu siku nyingine ukiambiwa ya kaisari mwachie kaisari uwache kiburii ...
Asee nmeumia sirudiii tena kushika cm ya demu ,kuchapiwa kunauma jaman mke anauma , aseee mbudya kunanihusu nikapoteza mawazo
 
Sasa no demu au mke? Principle ni kushika simu ya manzi unaetaka kumuacha ili upate sababu ya kumuacha
 
Sio kweli mkuu,, amin hili tukio limeniumiza sana
Pole mwaya.Ya kawaida hayo.Maandiko yanasema onyaneni kwa upendo.Kama umemuonya Mara kadhaa pasipo mafanikio.Basi hakutakuwa na namna.Lakini kubadilisha sio suluhu waweza toa tatizo ukamleta tabu na mawazo.
 
Back
Top Bottom