Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Mnajifanya hamjui sio!!!Sijui sikuhizi ibilisi gani ametokea maana wanaume tunachapiwa sana
Mnajifanya hamjui sio!!!Sijui sikuhizi ibilisi gani ametokea maana wanaume tunachapiwa sana
Ukimaliza kugundua kuwa wengi ni mabachela.Pia ugundue Kuna wanaotuma Visa vya kutunga.Hawajaoa hata mchumba tu hawana.Inaudhi unajipinda kumshauri mtu kitu ambacho hakipo.Jamii forum imekuja kuaje?mtu anaomba ushauri anasononeka nafsi yake,anaumia nafsi yake badala uchukulie tatizo la mwenzako Kama lako then umshauri unaanza kumcheka na kumdhihaki why? But nimekuja kugundu wengi wanao comment ujinga kwenye swala la muhimu na la serious wote ni mabachela so anachukulia Kama mwenza kalambiwa girl friend. Mke syo girlfriend, mke ni zaidi ya girlfriend na ni sehemu ya maisha yako .
Sio kweli mkuu,, amin hili tukio limeniumiza sanaUkimaliza kugundua kuwa wengi ni mabachela.Pia ugundue Kuna wanaotuma Visa vya kutunga.Hawajaoa hata mchumba tu hawana.Inaudhi unajipinda kumshauri mtu kitu ambacho hakipo.
SantePole mkuu@cha mitandaoni
Bora kujua umajiami mkuuMatatizo mengine mnajitakia tu. Ya nini kushika simu ya mwingine wakati na wewe una yako??
Mie sifanyagi ujinga huo
Sawa mamiii nmekoma sirudiii mm,,maamuzi nliyofanya anajutiaNdo ukomage
Acha tuumeona nn mkuu
Nyie sio watu kabsa ,,,Msishike simu zetu jamani.
Anamuacha mkewe sijui mchepuko anaendelea kukulwa kama kawaida ye anaendelea kutafunwa na funzaUnaenda mbudya unaogelea unakunywa maji mengi unakufaaa
Sawazisha hapo mechi iwe 1-1. Mpe na wewe ashike simu yako.
mkuki kwa ngurueNavaa maboya mpaka kwenye kichwa naelea tuUkienda mbudya uwe makini mkuu usije ukafa
Nko nae mbali ,npo likizo cku nmevizia cm Yake ni balaa anagongwa na washikaji wengi asee meseji chafu nmeumia sana haya maviumbe hapanaUzi gani huu si useme ulikutana na,kitu gani bana
Mimea sio?Nyie sio watu kabsa ,,,
Hatujui mkuu tatizo kubwa Nini.Mnajifanya hamjui sio!!!