Me napita tyuuu.
hahahaaaaaaaaaaaa................duuuu, yakwako ndo ilikuwa kali, mi mwenzenu akuuuuuuuuuu, najijua siwezi kumuacha sasa pressure zanini?????Kuna kipindi niliingia kwenye inbox nikakuta inbox iko poa tu kwenye whatsapp hakuna message mbaya nikashusha pumzi kwamba yuko poa mara sms ya kawaida ikaingia imeandikwa "lini nitakutom**a tena?" ebwana alikuwa mwekundu kwa kipigo aisee