Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
HHIF ofisi ipi ?! Karibu ilala nikuhudumie mwanaJF mwezanguNimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
ilala hapo karibu na ifm?HHIF ofisi ipi ?! Karibu ilala nikuhudumie mwanaJF mwezangu
Nimegundua nimejaziwa namba ya simu siyo yangu wakati wa usajili. Unaweza kunibadilishia?HHIF ofisi ipi ?! Karibu ilala nikuhudumie mwanaJF mwezangu
ephen wangu yeye hung'ang'aniwa na watu ili awahudumie kutokana na ukarimu na unyenyekevu wakeWanawake huwa wana nyodo sana maofisini.
Mimi nikikuta mwanamke kwenye ofisi yoyote naahirisha.
Cc: Lucas Mwashambwa
Watumishi wa umma hao wa "KASTAMA KERO" unaweza ukawazaba makofi kwa majibu yao na dharau zao.Nimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
so, kuhusu yule dada ulimalizana naye vipi? maana ikiwa hujamchana au kumsemea kwa meneja wake basi ataendelea na majibu yake ya ovyo kwa watejaNimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
Hukuacha ata buku la sodaNimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
Ukute naye ana access ya kukopa milioni 200 za wanachamaNimeenda ofisi ya NHIF Cha ajabu pale reception costumer service mbaya kishenzi, namuelekeza ananiambia short answers,
Nikasema dada mbona una costumer care mbaya hivi anasema kwani wewe unatakaje!
Nikasema nataka hudumu nzuri,
Nikaomba barua ya maoni kabla sijaondoka nikataka kuonana na meneja ili nimchane.
Nakutana na manager ni msaataarbu vibaya mpole amenielekeze mpaka raha, watumishi wa umma, Badilikeni.
Leo nimetoka hapo ilala, Kwa kweli mmenikera vibaya mno!HHIF ofisi ipi ?! Karibu ilala nikuhudumie mwanaJF mwezangu