Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,992
Nimekimbia FB, nimekuja JF, lengo na madhumuni natafuta mtoto mzuri wa kuoa, lakini asiwe na tabia za ki-FB, FB.
Nimekimbia FB, nimekuja JF, lengo na madhumuni natafuta mtoto mzuri wa kuoa, lakini asiwe na tabia za ki-FB, FB.
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
Kiufupi nipo serious jamani, pia sina kazi. Elimu yangu ni kidato cha IV.
Kimbilia tena hapa bootytalk.com, BOOTY TALK, booty talk, #1 black hardcore video series wapo wengi sana hapo.
oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri
Humu utakutana na dada yako then sijui ukimtogoza then mkajuana mtaendelea kugegedana.
Anyway UKIMWI unaua chunga kijana....ila km unautafuta GO on
hata mm niko siriaz.
elimu yangu darasa la saba ila nafanya kazi ya kuuza steshenari hapa manzese.
pia nina ujuzi wa kupika wewe unaujuzi gani??
Mmmh... Kweli wewe Kirikou!
utawaweza wanawake wa mtandaoni?
Kidato cha nne kikubwa sana hicho mbona mie nliishia la 6A lakini nilipata mke???
Doh ujuzi me ninao mwingi tu, ushindwe mwenyewe.
oh! karibu sana sana haya sema
mm nipo hapa toka mwaka jana natafuta kijana wa kunioa lakini sijampata.
niambaie kwanza elimu, kazi na umri