Nimekereka Sana Leo

Mhhhhhh shoga angu Hebu tulia kwanza Halafu usimulie polepole
 
Moderators anzeni kuwa mnafuta nyuzi zisizo na maana.
 
Mleta mada..naomba nikuulize. Je anakusingizia na si kweli..??...lakin kama si kweli unaogopa nini.?

Haimake sense wewe kuja kuandika huku akati si kweli. Binafsi kama sijaiba ukasema nimeiba sitatetereka...mpaka ufanye uchunguz upate ukweli. Kama huna kosa...stay cool imeisha iyo.

Kwan wao wanakulipia kodi?? Wanakulisha?? Bills wanakulipia?? Tena ndo safi utakuwa busy na maisha yako mwache atajijua na shida zake uyo jiran yako. Na kama unahisi anakuroga..sali sana kama wewe ni mtu wa Imani. Ama kama unaamin katika shirki..karoge. simple. usipende kujivictimize....
Unaweza kubeba huu ushaur au kuuacha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…