MandawaNaManenge
Member
- Jan 27, 2012
- 80
- 70
Hongera Mungu akupe maisha ndefu !
Nway free consultation punguza basi urefu wa username! Wengine twatumia mob. Screen , nimelazimika kugeuza cm yangu nyuma nimalizie ku'read username.
Eti free consultation! lol
Mkataa kwao ni mtumwa. Kama ndio jina langu je? nilipunguze kwa sababu mtu anatumia mob? Ukiona refu au lakukera, potezea tu mkuu maana sio lazima kila post uisome.
Tukipunguza ujuaji usio wa lazima saingine, life becomes BnB ( better and bearable).
asante