Nimekataliwa kisa........!


Mkuu inaniuma sana kuna msichana ambae nilidumu nae kwa miaka miwili, lakini mwezi huu kaolewa na jamaa mwingine, sababu anasema alinipenda sana lakini hawezi kunisubiri kwa sababu sina mwelekeo wa kumuoa na yeye umri unaenda!
 
sasa wewe unataka kuwa na demu alafu huna hela sasa si unatafuta kuchapiwa tu ndugu yangu we tafuta kazi upate hela alafu urudi kwa demu wako la sivyo utakuwa mume bwe....ge.
 

umenena vyema sana bi dada...
lakin naomba kukuuliza je ulishawah kuwa na mahusiano na mtu asokuwa na kazi??
mind you sijazungumzia pesa nimesema kazi,,,,,,,,,,,,,, mwanaume ambaye wewe unaaamka asbh unaenda kazin yeye anabaki home na kids hadi urudi jioni ulishawah??
 

Dada yako akipata mtu wa aina yako utamshauri nini.
 

Dada yako akipata mtu wa aina yako utamshauri nini?
 
Inabidi anivumilie kwenye kipindi hiki cha shida ili siku nikizinyaka tufaidi kwa pamoja na kusherehekea pamoja

hahahahaaa kaka, kwani unatarajia kuzinyaka lini?? mhakikishie au muonyeshe mipango yako ya kuzinyaka ili awe comfortable kwamba shida hizo ni za kipindi tuu.
Kwa mf. kama ni graduate una mipango ya kupata kazi, kama ni mfanya biashara una mpango wa kupata mkopo au una hata kigenge cha nyaya na mbogamboga.. au kama ni mkulima onyesha matarajio yako baada ya msimu wa mavuno.
Zaidi nakushauri tafuta mwanamke atakaye suit your economy... hutateseka. Usitake mwanamke kama Kim Kardashian ilhal wewe heaven on desert lol!!!
 
Mkuu inaniuma sana kuna msichana ambae nilidumu nae kwa miaka miwili, lakini mwezi huu kaolewa na jamaa mwingine, sababu anasema alinipenda sana lakini hawezi kunisubiri kwa sababu sina mwelekeo wa kumuoa na yeye umri unaenda!

Ndivyo tulivyo sisi wanawake. Time factor kwetu ina matter. Sisi ukichelewa kidogo lazima ukatwe nyie hata miaka 90 mnaweza kuoa na mkapata watoto na maisha yakaenda. Chukulia mf. wa Mzee Mengi na mrembo Klyn... Hivyo ninyi mna advantage kubwa sana tuu!!
 

how did you know my sex?

guys, i dont understand you.. everyone is calling me 'she'!!

why? should i change my username ?
 
sasa wewe nae sijuwi hujielewi,tafuta kazi bhana acha mambo ya wanawake,mambo yakiwa mazuri utapata mwingine
 
Mkuu ninakuunga mkono asilimia mia
huyo hakupendi wewe... yeye anapenda utakachokua nacho!
cha muhimu muweke pending halafu tafuta kazi ukishapata tu ndo mfuate tena ila sio kwa kukaa bali kupita tu.
ili roho yako iridhike.
 
Kuna ambao hawana kazi lakini hawaridhishwi na hiyo hali wanafight ata kama si kwa kuajiriwa hawa wanaweza kutoka baadae na wapo wale ambao hawajishughulishi ambao mwanamke makini lazime asite kuanzisha nae mahusiano, utakuta kijana mzima kila kitu ufanyiwa wewe hujishughulishi, fight ata wanaokukataa watakukubali ila wakati huo ukiwa umefanikiwa ni ngumu kumjua anayekupenda kweli.
 
how did you know my sex?

guys, i dont understand you.. everyone is calling me 'she'!!

why? should i change my username ?
kama wewe ni me na hiyo avatar inayo-potray jinsia ya ke
basi subiri kuchumbiwa humu ndani.
kama wewe ni mkaka nakushauri weka avatar ambayo haitapotray yy ili watu wabaki wakikuita kwa namna ambayo haina jinsia, ni afadhali vinginevyo wewe utachumbiwa.
 
ni kweli ila kupenda ndiko kunakonitesa sababu nampenda kiukweli kabisa

halafu we una sura mbaya; kama ndiyo picha yako halisi ; ungekuwa handsome angekuajiri kama shamba boy huku ukila mzigo taratibu
 
kodi gari zuri na kaazime hela uje umringishie halafu umbetue tu then atasoma nyakati , kesho yake anakuona unazibua mtaro au unabeba mzigo kariakoo ,then she will understand u , sasa hivi hajakuelewa mpe ladha zote za maisha na siku ikatokea mnaongea katika maisha yenu ya ndoa kama mtafanikiwa kunasana ni burudani sana
 
Ndugu nakushauri usisikitike, kwanza ushukuru mungu anakuokoa na huyo mtu maana hata ukipata kazi mambo yako yakawa mazuri siku ukipata matatizo atakukimbia hivyo ni bora ukakaa mbali naye. Hata hivyo sidhani kama ni nyema kuwa na mchumba ambaye unategemea aje kuwa wife wako halafu akawa na majibu kama hayo. inaonyesha hana busara. lakini kama ulikuwa unataka kula tuu na hauna malengo yeyote ya maisha ya baadae na yeye basi hilo jibu lina kufaa.
 
Mkono mtupu haulambwi
 

pole sana mkuu,yatakwisha yote haya,siku zote naamini no situation is always permenent
 
Huyo hakupendi ila anapenda pesa. Ukipata kazi atakukubali siku ukikosa pesa atakukimbia. Tafakari, chukua hatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…