Nimekataliwa kisa........!

anataka apende kazi na hela huyo kupendi , yawezekana kimuonekano siyo chaguo lake sasa katika kutafakari akahisi ungekuwa na hivyo vitu ndo vingemweka weka kwako. tafuta wa kwako huyo si wako.
 
ni adhabu kupenda usipopendwa. Hivi kwanin umng'ang'anie? Mwanamke ni yeye peke yake? Wako wanaokesha kuomba kupata wakumpenda. Usismame kwenye mlango mmoja uliofungwa, ilihali ipo mingne 100 wazi.
 
dada alikaa akatafakari namna ya kumkataa akaona upenyo ukapatkana kwenye kazi na pesa...hahahaha! Kimbia fasta kijana.
 

kwa maana hiyo wanaume wote wasiokua na pesa wala kazi hawana wanawake?
 
sasa kama ni hivyo si bora aniambie wazi tu kuliko kuendelea kunitesa kijana mimi na kunipa mawazo meengi sana kichwani mwangu[/QUOTE

ukweli upi tena unaotaka wew wakati ukweli wake ameshakueleza........anavyovitaka hauna....
 

binafsi naona kama ana malengo ya kupata kazi au kujiajiri na ni mpenda maendeleo siyo shida sana.....kuliko mtu ana kazi lakini pesa yake anaweka heshima bar na kwa marafiki...
..huyu ni mzigo zaidi.....na ni changamoto haswa.......mipango na malengo ya kimaendeleo ndo mpango mzima kwangu.....
 
Last edited by a moderator:
Kijana usilalame ,,,, fanya kazi tafuta pesa ukipata kamtongeze ufaidi mahabati.
 

kabisa...na katika hili nina mfano hai...kuna mama mmoja wakati anaolewa mmewe alikuwa na kazi nzuri na pesa.....lakini baadae akapata matatizo kazini......mpaka leo huyu baba akufanikiwa kurudi kazini wala kujiajiri.....ila huyu mkewe bado ana kazi....ndo anaihudumia familia kwa kila kitu.....
 
Hahahahaaaaa,wala husijali,mi mwenyewe nitakuja na helmet!Tena na buleti proof husisaau,si unajua watu wengi wanafanya kazi Sudan na huko DRC kwa M23!

kwa kweli.....ili tupunguze uwezekano wa kupewa ulemavu....
 
nimeiona hiyo avatar yako mkuu,imenitia hamu sana ya kuzisaka labda amani ya nafsi itapatikana,lakini hofu yangu itakuwa ni kwamba nanunua upendo

Mungu pekee ndiye mwenye upendo wa bure. Wa wanadamu lazima ugharamie. Usijidanganye tafuta kazi Mkuu. Siku nyiiiiingi zote hizo hutafuti kazi umekaa unamhubiria demu mapenzi!! Pambana huu ni ukweli Mchungu. Penzi haliweki ugali mezani, halilipi bills, halipeleki watoto int' schools...
Mwanamke muelewa sana huyo. Wengine hujifanyaga hawapendi pesa lakini ukishakuwa nae na humpi pesa ni visa mwanzo mwisho...
 

Amempa fundisho awe muangalifu mbele ya safari. Atafute means halali za kujipatia kipato
 
Ss Mr Yes unalalamika nn!!,
Kwa sbb Kiukweli ni kuwa huwezi kumhudumia kwa chochote.
Kuwa na mwanaume asiye na kazi/shughli yyt sio mchezo jamani huo ndo ukweli japo tunasema love ndo mhim ila dah!!!!!

Mwisho wa siku utamegewa tu
Cha mhim tafuta kazi/hela kwanza
 
Kwa huyo si utakua unanunua upendo bali utakua unanunua mchezo,maana she is not a wife material...mtoe kabsa katka mawazo yako

Ubaya ni kwamba hajatangaza ndoa ila anataka kugegeda tu. soma thread Mkuu.
 

Exactly!!!! Hakuna kurembaremba mdada!! Semeni ukweli mtapunguza dhana ya umarioo mjini!
 
anakupenda ila hamuwezi kuwa pamoja!...tambua nafasi na majukumu yako kama mwanaume katika hayo mapenzi yako kwake,achana na "kuumizwa sana" na blah blah za mapenzi ya kinadharia!
by the way,hiyo avatar yako ndivyo ulivyo mkuu?..hahahahahahahaha
 
Exactly!!!! Hakuna kurembaremba mdada!! Semeni ukweli mtapunguza dhana ya umarioo mjini!

Yes
Thus the truth
Ndo maana ht mwanaume akiwa anakua approach ckuhiz unasikia
Unasoma/ukafanya kazi
Tena anataka kujia level ua elim

Ukweli lazima usemwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…