kumekuwa na mazoea kuwa, wanachuo wengi wa kiume hupenda hit and run...Habarini za jioni wana jamvi.
Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja.
Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani.
Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi lake, tukafahamiana vizuri , stories za maisha na kujuliana hali zikaendeleaa.
Kwa kipindi hicho chote sikuwahi kumtamkiaa kuwa nampenda na ofcoz sikuwa namhitaji japo ye anasema ni sealed , hii alinambia katika piga piga story kama unavojua jinsia mbili mkikutana mkashibana basi story kama hizi hazikosi.
Inshort dogo anavosema hana mtu anae date nae na kweli ukiangalia routines zake, ni mtu wa dukani, kanisani na home tu.
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikimgusia kuhusu suala la mahusiano lakini ameonekana anapinga na sababu kuu anayoniambiaa nikuwa siwezi oana na msomi mie , nyie wasomi mnadharau na mbaya zaidi kanambiaa [emoji2][emoji2] sikupendi though tulikuwa tunaongeaa katika joking. LAKINI point yake kubwa hawezi oana na mwanachuo kwasababu.
1.ni waongo sana.
2.wanajidai sana, kwaio bora atafutee ambae hajasoma mwenzake
Elimu yake ni std 7 but anaakili sana za maisha na business.
Nyingine pia, jana hiyo , kuna dada namfahamu anafanya kazi sehemu fulani ni form 4 graduate wa 2018 ,nikamgusia habari za mchumba wake akasema ye hana , nkamuuliza vipi nikutafutiee huku chuoni akanambiaa HAPANA wanachuo ni waongo na hatuna time na watu tuliowaacha mtaaani.
Vilpi ndugu yangu, ushawai kataliwa au kataa mtu kwakuwa ye ni msomi au mwanachuo ??? Kama ndio ulipewa au ulitoa kisingizio gani. [emoji3][emoji3]
Ni kweli kaka lakini mie sio mtu wa hivo naheshimu sana Hawa watu nasipendi mtoto wa watu ahuzunike sababu yangu lakin ndo vile ashalishwa sumu kuwa wanachuo ni play Boyzkumekuwa na mazoea kuwa, wanachuo wengi wa kiume hupenda hit and run...
sasa kwa mdada anayehitaji Ndoa hawezi kuwaweka kwenye hesabu
Kwao geti kali, halafu kaishia std 7Habarini za jioni wana jamvi.
Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja.
Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani.
Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi lake, tukafahamiana vizuri , stories za maisha na kujuliana hali zikaendeleaa.
Kwa kipindi hicho chote sikuwahi kumtamkiaa kuwa nampenda na ofcoz sikuwa namhitaji japo ye anasema ni sealed , hii alinambia katika piga piga story kama unavojua jinsia mbili mkikutana mkashibana basi story kama hizi hazikosi.
Inshort dogo anavosema hana mtu anae date nae na kweli ukiangalia routines zake, ni mtu wa dukani, kanisani na home tu.
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikimgusia kuhusu suala la mahusiano lakini ameonekana anapinga na sababu kuu anayoniambiaa nikuwa siwezi oana na msomi mie , nyie wasomi mnadharau na mbaya zaidi kanambiaa [emoji2][emoji2] sikupendi though tulikuwa tunaongeaa katika joking. LAKINI point yake kubwa hawezi oana na mwanachuo kwasababu.
1.ni waongo sana.
2.wanajidai sana, kwaio bora atafutee ambae hajasoma mwenzake
Elimu yake ni std 7 but anaakili sana za maisha na business.
Nyingine pia, jana hiyo , kuna dada namfahamu anafanya kazi sehemu fulani ni form 4 graduate wa 2018 ,nikamgusia habari za mchumba wake akasema ye hana , nkamuuliza vipi nikutafutiee huku chuoni akanambiaa HAPANA wanachuo ni waongo na hatuna time na watu tuliowaacha mtaaani.
Vilpi ndugu yangu, ushawai kataliwa au kataa mtu kwakuwa ye ni msomi au mwanachuo ??? Kama ndio ulipewa au ulitoa kisingizio gani. [emoji3][emoji3]
Things are not the same bro, sio beki 3 mkuu trust me!!!Kwao geti kali, halafu kaishia std 7
Bila shaka ni beki wa pembeni.
Well said mkuu, ngoja nianze awamu nyingineHakuna mkate mgumu mbele ya chai
Blessed [emoji120] Asante sanaMkuu soma.. Japo elimu yenyewe miyeyusho ila soma.
Achana na haya mambo...
Hahahahaha haina haja ya siti mkuu nafasi ni kubwa mnoAhahaha the right thing at the right time, asante naomba niwekee Siti huko
๐๐๐hilo jagi la tokyo ndo likoje??Ndio mnakutana sasa chupa na mfuniko, make nanyie vibrazamen vya chuo huwa mnajikuta sana, ukishanunua sabufa ya kichina shingshong, ukanunua na pazia, na jagi la tokyo unajiona maisha umeyapatiiiiia......
๐๐๐hilo jagi la tokyo ndo likoje??
Unaongea ukweli unazani utampata demu labda aliyejikatia tamaa.ungemwambia wewe ni afisa mikopo katika kampuni ya Ungungu Agrovet saa hizi ungekuwa unatafuta cha pili na JASHO jingi bila feniHabarini za jioni wana jamvi.
Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja.
Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani.
Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi lake, tukafahamiana vizuri , stories za maisha na kujuliana hali zikaendeleaa.
Kwa kipindi hicho chote sikuwahi kumtamkiaa kuwa nampenda na ofcoz sikuwa namhitaji japo ye anasema ni sealed , hii alinambia katika piga piga story kama unavojua jinsia mbili mkikutana mkashibana basi story kama hizi hazikosi.
Inshort dogo anavosema hana mtu anae date nae na kweli ukiangalia routines zake, ni mtu wa dukani, kanisani na home tu.
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikimgusia kuhusu suala la mahusiano lakini ameonekana anapinga na sababu kuu anayoniambiaa nikuwa siwezi oana na msomi mie , nyie wasomi mnadharau na mbaya zaidi kanambiaa [emoji2][emoji2] sikupendi though tulikuwa tunaongeaa katika joking. LAKINI point yake kubwa hawezi oana na mwanachuo kwasababu.
1.ni waongo sana.
2.wanajidai sana, kwaio bora atafutee ambae hajasoma mwenzake
Elimu yake ni std 7 but anaakili sana za maisha na business.
Nyingine pia, jana hiyo , kuna dada namfahamu anafanya kazi sehemu fulani ni form 4 graduate wa 2018 ,nikamgusia habari za mchumba wake akasema ye hana , nkamuuliza vipi nikutafutiee huku chuoni akanambiaa HAPANA wanachuo ni waongo na hatuna time na watu tuliowaacha mtaaani.
Vilpi ndugu yangu, ushawai kataliwa au kataa mtu kwakuwa ye ni msomi au mwanachuo ??? Kama ndio ulipewa au ulitoa kisingizio gani. [emoji3][emoji3]
Hahahah sawa tutakutana hiyo mitaaa mkuuHahahahaha haina haja ya siti mkuu nafasi ni kubwa mno
Nime take note kumbe bila uongo Hawa ndugu zetu hawanasiUnaongea ukweli unazani utampata demu labda aliyejikatia tamaa.ungemwambia wewe ni afisa mikopo katika kampuni ya Ungungu Agrovet saa hizi ungekuwa unatafuta cha pili na JASHO jingi bila feni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]