Curious Naturally
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 528
- 523
Atakua hawa watani wa Watz wote wakinaMagu.....Duuuuh. Mambo ya pm hayo
Kwani we kabila gani?
Inawezekana kabisa aiseeAtakua hawa watani wa Watz wote wakinaMagu.....
Siamini Kama ni kweli... Hivi maombi yote haya hapa jamvini hujaona kabisaaaa????Hivi jamani kwa nini wadada wanabagua makabila wakati sisi tunataka tuoe jamani???
??
We unayetaka kujua kabila langu ndio utakua Mkabila zaidi.Mimi bado nashangaa 2013
Swali la kwanza naulizwa wewe kabila gani!!
Kuna watu bado wanakimbatia ukabila
Pole sana mkuu, jaribu kurudi kijijini uchukue wa kabila lako.Hivi jamani kwa nini wadada wanabagua makabila wakati sisi tunataka tuoe jamani???
??
Hayaaa huyu demu kaikosa katerero hivihivi aiseeMhaya mwenye pesa
It sound like namfahamu huyu mdada kutokana na alivyojieleza kwenye thread yake ya kutafuta mume (Mr. Right) na jina lake analotumia aliwahi kuolewa na mhaya akaachwa within 1 year nafikiri ndo kisa cha kuchukia hilo kabilaHivi jamani kwa nini wadada wanabagua makabila wakati sisi tunataka tuoe jamani???
??