Nimekataliwa certificate ya ualimu, nina IV ya 28

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
155
Reaction score
88
I kindly requesting your ideas about which way i should take to fulfill my teaching desire.I did Nacte application[teaching certificate] but if failed to make it due to my perfomance.
nilipata 4 ya 28 ndugu zangu ivi kweli siwezi fanikisha kupata chuo kwa ngazi ya cheti???
naombeni msaada wa mawazo na mungu awabariki
 
Nenda kasomee certificate in nursery school teaching utoke na u perform vizuri kisha apply diploma in primary school miaka mitatu hapo utakua umefikia malengo yako au reseat form 4 hakika utafikia malengo ulionayo
 
Bila div ¡¡¡ ualimu sahau ndugu
 
Tafuta fani nyingine mkuu. Mama wa mwendo kasi kabana huko kwenye elimu.
 
yani huoni hata aibu kulalamika,yani na hilo lifoo lako ukawe mwalimu kweli?
 
Nenda kasomee certificate in nursery school teaching utoke na u perform vizuri kisha apply diploma in primary school miaka mitatu hapo utakua umefikia malengo yako au reseat form 4 hakika utafikia malengo ulionayo
Hiyo diploma in primar schoo unaaply wapi??mbona vigezo ni mpk uwe na certificate ya chuo kinachotambuliwa na nacte
 
Sasa ikiwa wewe mwalimu mtarajiwa umeripuka na iv, Je huyo mwanafunzi utakaemsomesha ataibuka na Ngapi???
 
Back
Top Bottom