mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Huyu mchepuko nilipiga wakati nikiwa na kiu sana, kumbe aliielewa ile game.
Baada ya miaka miwili kupita, leo amekuja mji ambao nipo ameomba nikamfanye tena MTINDO MBAYA. nikamwambia aisee kwa sasa nimeokoka na ni mtu wa swala 5 zinaa nimeacha kabisa
Kumbe ndani nina kimada kingine.
Dah MUNGU ANISAMEHE TU KWAKWELI..... na kasumba niache