mtoto sio kigezo mwaya usikate tamaa..... amini nakwambia.
Mimi ntakuoa Ila usiendeleze ujinga ulikuwa nao ukichamba sana unashika mavi! niandikie SMS kwenye Simu hii +256 728 44 8159 najua utakuwa umeshika adabu na wanaume na hutafanya kosa. they say once bitten twice shy!
The higher the risk the higher the return..
Ni kikwazo kwa maana ya kuolewa na mtu ambaye hajazaa.Alomwambia mtoto ni kikwazo nani?????
Hili tatizo ni la maelfu ya wasichana kama sio mamilioni. Ujinga wa kukubali kufanywa -----.
Ulaghai ni hulka ya binadam weengi, hasa wavulana, sasa ni muhim kwa mtu kutumia akili yako uliyopewa na MWENYEZI MUNGU kisawa sawa. Kutambua mbivu na mbichi.
Cha msingi kabisa cha kuandika kwa herufi kubwa kwenye ubongo ni kuwa usikubali kufanya mapenzi bila ya ndoa, kwa lugha nyingine huitwa uasherati au uzinifu.
Kaa upande wa Mungu na Mungu atakaa upande wako yaani usimuasi Mungu kwa aliyokuamrisha na kwa aliyokukataza.
Natasha kaolewa na miaka 50+ alikuwa na mtoto na wajukuu 2 asikate tamaa mapema na asione huyo mtoto kama kikwazo as long as alikubali kuibeba mimba yake na kuzaa kwa uchungu hiyo ni baraka
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
Naongelea kutofanya ngono kabla ya ndoa. Cha kushangaza saaaaaana ni baadhi ya watu kuona rahisi kuchovya/chovywa kuliko kuoa/kuolewa. kisingizio cha wasichana weeeengi ni kuwa "nilidanganywa".Lakini ngono ni kiburudisho ambacho jinsia zote wanaitaji so soln labda kutumia condom
Hii haiko shauri musuri, inafaa iyo dada tumie kichwa yake menyewe.Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.