Nimekata tamaa ya kuolewa

Hawawezi kusimama n kujiendesha pekee yao
 

Mkuu subiria PM kutoka kwa Single Mom
 
Usikate tamaa mrembo nami natafuta mchumba kama vp nichek 0716552733 whatsapp
 
Mabinti lazima mjitunze sana, hakikisheni hampati mimba, kuna wanaume wakifikiria kuoa mwanamke mwenye mtoto huwa kuna kitu wanakiwaza sana na wanajaribu kutafuta jibu kwa wakati huo hawalipati!

Mimi mwenyewe kuna kipindi nilipata mwenye mtoto, nilijiuliza maswali mengi kwa wakati huo sikupata jibu, nikaamua tuachane tu! tena nilikuwa sija-do naye kbs.
 
Mwambie aje kwangu niko single

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Miaka 28 na bado huwezi jua siku zako za hatari? Kuna tofauti gani na wanafunzi wa primary au sekondari sasa? Pia sijaielewa hii ya kuwa amekulia maadili ya dini halafu awe mzinifu? Nilitarajia kama kweli ni mcha mungu angesubiri ndoa kabisa.
Tubu kwa mola wako na naamini atakupa mume hata kama una mtoto au above 30. Kuna mdada jirani yangu ameolewa miaka 3 iliyopita alikuwa na 35 years na sasa wanaishi happy life na mumewe.
 
Ulikuwa wasubiri nini hadi imefika 28 ndo wajua umechelewa. Hawa watu wasikudanganye humu kuolewa ongea ma huyo mwenye mimba akuoe
 

Kama vp tupo wengi sana tunaohitaji kuoa. Ni PM tuwasiliane
 
yap bibie nataka bibie aliyekata tamaa.hao ndio wazuri wanajua umuhimu wa kutunza ndoa camoniiiiiiiiiii?mamy
 
Hupaswi kukata TAMAA kwani mapenzi hayana 'formula", mtoto sio tatizo na nikuibie siri wanaume wanapopenda suala lamtoto sio tatizo sana kama ilivyo kwenu kina dada.
Binafsi nimempenda sana dada mwenye watoto 2 na ni "above" 30. Nimeongea nae kwa muda mrefu sasa lakini haniamini, najitahidi kadri niwezavyo yeye haishi wasiwasi, "Hivi watoto wangu unawapenda?". Ningali nateseka juu yake. JITAMBUE JITHAMINI.
 
Mwambie aje kwangu mimi nitamuoa...asiwe na hofu...
Mwambie kuna mtu yupo kwa ajili yake....
 

............Mawazo yako ni sawa na nguvu za giza. Mungu huwa hazihakiwi kwa namna yoyote ile, hata mwehu wa kiasi kilichopitiliza sijawahi kumsikia akiongea maneno ya namna hiyo.
 
28yrs duuh mdogo sana kukata tamaa, watu wanaingia 40s bila kuolewa au kuzaa and still kicking. Mwambie achakarike na maisha asiwaze ya kesho akakosa kuishi na ya leo, ndoa ikiandikwa ataipata.

Funzo jamani kujitambulisha na kuvikwa pete sio NDO, mnakuwa desperate mpaka mnaingia choo sicho
 

...kwakuwa umesema ni rafiki yako basi kamwambie ni mjinga,ingekuwa amekuja mwenyewe ningeandika mengi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…