Kwa hiyo Mungu ndio alipanga dada huyu afanywe ngono zembe zembe bila protection apate mimba na jitu lililokuja kusepa, basi Mungu amuoe yeye mwenyewe manake kamlostisha halafu kamtafutia yule jamaa demu mwingine. Kwa sababu Mungu ndio kapanga kila kitu!........ achana na huyo jamaa maana Mungu ndo mpangaji wa kila jambo. Unaweza kukuta ungeolewa nae ndo ungejuta kumfahamu!!
I cant go for this!hahaaa...mm nafikiri ni kale kamchezo...ni katamu lkn..ww unaxemaje
Hahahaa haaaa
Ndo maanaake! Umechelewa!
Huyo dogo bado sn cjui paniki ya nn
Acha tu!!!!hapa nipo macho juu atakaeniambia tu ai lavyu mguu kwa mguu namkimbiza kwa mama
Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.
NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.
hahaaaaa..ni sheeedahh!!bora nicolewe coz nitakua free kuchange ladha
Here lies the problem, kwa nini jamii yetu(hasa ya kiafrika)imewaaminisha wasichana/wanawake kuwa kuolewa ni heshima katika jamii?
Kwa nini?
Hivi ni kweli kuwa heshima inatakiwa kupatikana kutokana na status ya mtu tu(single or married)au inatakiwa kupatikana kutokana na matendo ya mtu na mchango wake katika jamii?
bahati yako ulitoka nduki ningeenda kukutambulisha kwa nguvu ha ha ha haHahaha...ndio maana nikakimbia...hebu mwambie dogo huyo kuwa ndoa sio kila kitu kwenye maisha....
Kwa sababu wanasoma sana madongo ya huku jfHili swali mkuu limekuwa likiniumiza kichwa sana, kwanini wasichana/wanawake wanahitaji sana kuolewa kuliko kitu kingine chochote?
Mkuu unataka kuipiga ncha ya mkuki kwenzi??
bahati yako ulitoka nduki ningeenda kukutambulisha kwa nguvu ha ha ha ha
muache asake ndoa "marriage is every woman's dream and it is every man's nightmare":smile-big:
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)