nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,014
- 1,896
- Thread starter
- #21
Yah Hali ndo ilikuwa hivyo ila kwa miezi minne niliaacha kabisa punyeto na kuanza kujitibu mwenyewe uume ulianza kuwa imara niliposema nijaribu uume ulisimama ila nilipotaka kuingiza kwa kuvaa kondomu nilishndwa kabisa
Sasa mkuu swali langu ni kwamba. Uliwezaje kuwa unapiga punyeto wakati mashine haisimami??
Au kwenye punyeto mashine iko flesh lakini papuchi mambo ndo yanachange??