Nimekata tamaa na hii hali niliyonayo, uume hausimami

Mkuu nasikia watu wengi wanasema viagra au hizi dawa dawa nyingine zinafanyika kama Booster ila haziponyeshi sijui Kuna kaukweli hapo
Sikia Mkuu,wengi wanazunguuka tu ukweli ni kuwa unatatizo la kupungukiwa nguvu za kiume.cha kwanza angalia kama kitu kinasimama na kwa hili miki nashauri kitu ambcho wengi wanaweza kupinga lakin ni njia haraka na ya kwanza kujua upoje,nacho ni jaribu 'Viagra'.kama vidonge hivi vitashindwa kukufanya udise tena basi we tatizo lako ni kubwa,lakin kama utasimamisha bas tatizo lako litakuwa ni dogo na la mda mfupi.
Hiz dawa huwa wanatumia wazee ambao nguvu za kiume zimewaishia kabisa.
Hakikisha tu sio fake.
 
Mkuu pole sana...

Kuna hizi mbegu zaitwa chia seed (sijajua spelling zake vizuri), husaidia saana,kilo nazani huuzwa kati yash 19,000/= hadi 25,000/= husaidia saana,enyewe waweza kua waweka kidogo kwenye chai au ata maji ya kunywa

Hubalance hormones,pia ata kwa wale ambao hutoa mbegu,kama anacheua vile...itakusaidia kwa tatizo lako pia (trust me)

Pia,Jaribu na juice ya tende

UANDAAJI
1. Chemsha maziwa freshhadi yachemke kama vile wanywa chai

2.Yaache yapoe

3.Andaa tende,kwa kuondoa mbegu

4.weka kwenye maziwa yaliopoa

5.Weka kwenye blenda,kwaajili ya. kusaga

6.Baada ya kusaga weka kwenye bakuli,then chuja...waweza tumia kitambaa au chujio

6.apo tayari...(waweza tunza kwenye friji,au ukanywewa ikamalizika)

*usafi ni wa muhimu (pia nimeandika haraka haraka,but kwa inshu ya makadilio au uwiano wa mchanganyo waweza angalia mwenyewe

NB,Mazoezi ni muhimu,pia punguza matumizi ya vileo au sigara kama watumia ,na pia kama wajichua acha kabisaa,na jaribu kuepuka kupatamsongo wa mawazo,pia usipaniki au kupania shughuli enyewe
ila kuacha nyeto ni shughul daa si mchezo
 
Mkuu nasikia watu wengi wanasema viagra au hizi dawa dawa nyingine zinafanyika kama Booster ila haziponyeshi sijui Kuna kaukweli hapo
hizo dawa iwe ni hatua za mwisho kabisa ukishindwa kila hatua. Nenda hospital ukapate ushauri wa doctor huku ukitumia herbal.
Usitumie dawa za hospital bila ushauri wa doctor
 
Chukua ushauri wa jamaa mmoja hapo juu,
Nenda katongoze kis chana chuchu Munga,
Alafu pitia phamas
Mwambie nipe enyoy, au elector, ama cupid
gm 100 mwanangu ukishindwa kupiga 3 juu kwa juu
Boom liende service kwa babu labda ni tego..
Na ili ujue kuwa ni tego kwanza boom linakuwa dogo kama chavi chavi, au mbilimbi
Kisha ukiwa na mchumba gheto boom linakuwa ganzi kabisa kama vile akuna kiungo mahala hapo kinachosimamaga ipo ni tego..
 
Mkuu ushaur wako ni mzuri sana sema ninachoogopa nitakuwa nafanya Booster tu nasio kupona kabisa
Chukua ushauri wa jamaa mmoja hapo juu,
Nenda katongoze kis chana chuchu Munga,
Alafu pitia phamas
Mwambie nipe enyoy, au elector, ama cupid
gm 100 mwanangu ukishindwa kupiga 3 juu kwa juu
Boom liende service kwa babu labda ni tego..
Na ili ujue kuwa ni tego kwanza boom linakuwa dogo kama chavi chavi, au mbilimbi
Kisha ukiwa na mchumba gheto boom linakuwa ganzi kabisa kama vile akuna kiungo mahala hapo kinachosimamaga ipo ni tego..
 
Habari za asubuhi wakuu..

Mimi ni kijana wa miaka 25 nina matatizo makubwa ambayo yanahitaji Msaada mkubwa kwa kuwa nimekata tamaa kwa maisha niliyonayo,,

Nimeshindwa kuweza kufanya mapenzi na wasichana zaidi ya wawili kutokana na Hali niliyokuwa nayo uume wangu umeshindwa kabisa kusimama na hata ukisimama unakuwa legelege na pia nimepoteza hisia kabisa na Wanawake

Baada ya kuona Hali niliamua kujitibu mwenyewe kutokana na ushauri mbalimbali unaotolewa jf kwa kufanya mazoezi, kula chakula kizuri, vitunguu swaumu na tangawizi kwa Muda wa miezi minne na kuacha punyeto.

Jana nimejaribu kuona kama nimepona uume uliweza kusimama mwanzo tu nilipotaka kuingiza Nimeshindwa kabisa kwa kulege

Wakuu nimekata tamaa kwa hii najiona si kitu tena nimekuwa mtu wa mawazo sana naumia naombeni Msaada mwanaume mwenzenu nirudi kwa Hali ya kawaida
Mkuu nakuomba DM..
 
Mkuu tatizo lako ni la kisaikologia hakuna kingine,hofu imeshakujaa kuwa dushe linaweza lisisimame,hapo ndipo kwenye tatizo.Inaonesha ukishakuwa na mwanamke ,akili yako inashindana kama itasimama au laa,mwisho wa siku ikisimama bado unaendelea je itawahi kuingia .Hali hii ndiyo ya kuifanyia kazi.
Subconcious mind yako imeshaaminishwa kuwa haitasimama .Muone mtaalamu. Wa saikolojia au nenda hospitali ,daktari anaweza kukupa panadol na kukuaminisha ndiyo dawa na tatizo lako likaisha.Tatizo lako ni kutokujiamini
 
Baharia una ndoto gani unaota unaweza ukawa na jini mahaba tayari anakusumbua. Au kuna mwanamke uliwahi kugombana nae?
 
Mkuu pole sana...

Kuna hizi mbegu zaitwa chia seed (sijajua spelling zake vizuri), husaidia saana,kilo nazani huuzwa kati yash 19,000/= hadi 25,000/= husaidia saana,enyewe waweza kua waweka kidogo kwenye chai au ata maji ya kunywa

Hubalance hormones,pia ata kwa wale ambao hutoa mbegu,kama anacheua vile...itakusaidia kwa tatizo lako pia (trust me)

Pia,Jaribu na juice ya tende
Mkuu naomba maelezo ya ziada kuhusu hizo mbegu za chia seed. Na wapi zinapatikanwa
 
Pole sana mkuu, ukiona imeshindikana usikate tamaa unaweza hama mahali unaoojulikana ukaenda sehem waiokujua na kutulia kimya
 
Tatizo lake sio la upande wa pili ni nyeto
Tatizo linaweza lisiwe la hospital ila likawa ni la upande wa pili yan ushirikina!

Je umewah kutembea na mke wa mtu?
Je umewah kutembea na mtoto wa mtu afu mzazi wake akafa haafiki mahusiano yenu?
Je huko nyuma wazazi wako hawakuwa kumkosea mtu ambae akaapa kulipa kisasi? (waulize)
.
.
.
Kama tatizo ni kutokana na visa vya binadamu linaponyeka kiulahisi sana ingawa itabidi upate mtaalamu mzuri! Shirikisha wazee unaowaamini naamini watakupa mwongozo mzuri wa wapi pa kwenda ukapone ila kama swala ni la kitabibu nenda hospital ukajue tatizo lako vyema,ushaur wa mitandaon hutolewa pasipo mshauru kujua hali halisi ya mshauriwa so huwa wanaushaur Generally tuu.
 
Habari za asubuhi wakuu..

Mimi ni kijana wa miaka 25 nina matatizo makubwa ambayo yanahitaji Msaada mkubwa kwa kuwa nimekata tamaa kwa maisha niliyonayo,,

Nimeshindwa kuweza kufanya mapenzi na wasichana zaidi ya wawili kutokana na Hali niliyokuwa nayo uume wangu umeshindwa kabisa kusimama na hata ukisimama unakuwa legelege na pia nimepoteza hisia kabisa na Wanawake

Baada ya kuona Hali niliamua kujitibu mwenyewe kutokana na ushauri mbalimbali unaotolewa jf kwa kufanya mazoezi, kula chakula kizuri, vitunguu swaumu na tangawizi kwa Muda wa miezi minne na kuacha punyeto.

Jana nimejaribu kuona kama nimepona uume uliweza kusimama mwanzo tu nilipotaka kuingiza Nimeshindwa kabisa kwa kulege

Wakuu nimekata tamaa kwa hii najiona si kitu tena nimekuwa mtu wa mawazo sana naumia naombeni Msaada mwanaume mwenzenu nirudi kwa Hali ya kawaida
I feel you mzee i have the same problem and may be more.. Yaani mimi nmeanza punyeto nna miaka 13 you can imagine at 16 tu.. Yaani at 16 nishaanza kupoteza nguvu, sasa badala ya kuacha nikaendelea mpaka leo case yangu ni kama yako. unajua shida ya hii kitu mpk ikukute, mi nakuambia yaani hapa nilipo sina mbele wala nyuma. Nyeto inaua nguvu za kiume, nyeto inaua ubongo, nyeto inaua body muscles yaani nyeto addicts tunapata effects kuliko cocaine addicts. Ukiangalia post yangu ni ya 2015 ila mpk leo cjapona. Lakini kwa upande wangu ni kipato kwani kinachotakiwa kufanyika nakijua.. NA nikwambie kitu hakuna dawa ya mwezi wala wiki itakayokuponyesha... Sisi ili tupone tunahitaji dozi ya muda mrefu saana within a year
 
hapo ndipo tatizo ulipoliokota...shukuru mungu ameishia kukufanyia hivyo huyo mume mwenzako maana angeweza hata kukumaliza kabisa!
Kijana wangu aliwahi kufanya kosa kama lako,Na yeye Operating System ilizima kama wewe then baadae akapata stroke ya upande mmoja bahat nzuri ilimpata hali hii tukiwa kisangani/Congo DRC... pale pana wataalamu wengi wazuri ndani ya wiki moja baada kumpata mtaalam OS ililudi iliinuka na baada ya miezi miwili stroke nayo ikawa imepotea kwa zaidi ya 80%
Maswali niliyokuuliza ndiyo niliyomuuliza na mwanangu pia alipopatwa na tatizo kama lako, kwasasa yupo safi na ana familia yake
.
.
.
Kijana ulipo ni hatua ya mwanzo kuelekea ulemavu wa milele au kifo!,fanya uhangaike kijana! miaka 25 ulitakiwa uwe unaanza kujenga future yako na sio kujiandaa na kabuli lako.

Ungesema akufuate Pm kungekuwa na harufu ya utapeli.maana maelezo yako yanatisha sana
 
Sijaona mbeguzamaboga kiongozi na kegel
Habari za asubuhi wakuu..

Mimi ni kijana wa miaka 25 nina matatizo makubwa ambayo yanahitaji Msaada mkubwa kwa kuwa nimekata tamaa kwa maisha niliyonayo,,

Nimeshindwa kuweza kufanya mapenzi na wasichana zaidi ya wawili kutokana na Hali niliyokuwa nayo uume wangu umeshindwa kabisa kusimama na hata ukisimama unakuwa legelege na pia nimepoteza hisia kabisa na Wanawake

Baada ya kuona Hali niliamua kujitibu mwenyewe kutokana na ushauri mbalimbali unaotolewa jf kwa kufanya mazoezi, kula chakula kizuri, vitunguu swaumu na tangawizi kwa Muda wa miezi minne na kuacha punyeto.

Jana nimejaribu kuona kama nimepona uume uliweza kusimama mwanzo tu nilipotaka kuingiza Nimeshindwa kabisa kwa kulege

Wakuu nimekata tamaa kwa hii najiona si kitu tena nimekuwa mtu wa mawazo sana naumia naombeni Msaada mwanaume mwenzenu nirudi kwa Hali ya kawaida
 
Sikia Mkuu,wengi wanazunguuka tu ukweli ni kuwa unatatizo la kupungukiwa nguvu za kiume.cha kwanza angalia kama kitu kinasimama na kwa hili miki nashauri kitu ambcho wengi wanaweza kupinga lakin ni njia haraka na ya kwanza kujua upoje,nacho ni jaribu 'Viagra'.kama vidonge hivi vitashindwa kukufanya udise tena basi we tatizo lako ni kubwa,lakin kama utasimamisha bas tatizo lako litakuwa ni dogo na la mda mfupi.
Hiz dawa huwa wanatumia wazee ambao nguvu za kiume zimewaishia kabisa.
Hakikisha tu sio fake.
Ukitaka uhanisi tumia Viagra au madawa yahospitali moto utauona
 
Back
Top Bottom