Ni mpira upi unaouzungumzia wewe? Ni huu wa futiboli ama kuna tafsida imetumika? Coz wengine CHABO huita mpira. Anyway kama ni kuhusu soka Mwanamke/Mke wa James kafanya vyema kujiunga coz ndege wenye mabawa ya kufanana huruka pamoja, sitegemei kusikia maugomvi ugomvi kwao tena coz itikadi yao kwa sasa ni moja. HOFU YANGU ni kwa huyu Mrs, james, je ataweza kumanage ratiba yake vilivyo? Je ataplay role yake kama mama wa nyumbani vilivyo?

Kama ni mpira wa Chabo kina Mr. ChweChwe wataweka mambo sana!