Nimejiunga na Freelancer Online job lakini sijajua Payment method

Mkuu...naomba nifundishe Jinsi ya kubadilisha cash from skrill account to MPESSA Tanzania... I will be very gratefully for your assistance...!

Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani, labdda kwa mzunguko hadi kwa Uhuru Kenyatta. skrillTZ acc->skrillKE acc->safaricom-vodacomTz.
BOT watu wa ajabu sana. Tunapoteza fursa ya kupokea forex nchini.
 
The Best Option ni kutumia Payoneer nimeitumia kwa mwaka wa 5 now na nimeshahamisha zaidi ya dollar 17000 toka freelancer na kesho nahamisha
 
Umofia kwenu wanaJamiiforums,

Ndugu zangu nimejiunga na Freelancer Website ili kutafuta kazi za kwenye Mtandao lakini kuna mambo sijayaelewa kuhusu kupata malipo kutoka kwa employer wako.

Atanilipa kwa njia zipi mimi nikiwa Tanzania? Je, nitajiunga vipi na hiyo njia ya malipo? Je, ni payments through M-Pesa au accounts za bank za kawaida kama CRDB Tanzania? Je, unajiunga vipi na Network hiyo ya malipo kutoka Tanzania mpaka kwenye Website ya Freelancer Au GURU, Fefver nikiwa job seeker?

Naomba msaada wa Knowledge kuhusu hayo mambo ndani ya Freelancer. Ndugu zangu, mimi jobless kwa sasa, niko Nyumbani na family inanitegemea. Nimepata road accident hivyo niko tu home.

Nakaribisha msaada wenu wanaJamiiForums.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia payoneer mkuu hela inaingia moja kwa moja benk

born to shine
 
Wakuu mie nimefungua account na nime Bid for job kadhaa! Kuna mtu kanitumia email akanipa sample ya video jinsi kazi anavyotaka ifanyike. Sasa nimeangalia nikaona kuna uwezekano nikafanya hio kazi akaniambia nifungue projects folder niangalie ipi inayonifaa kisha nimrudie ku confirm ni project gani ntapiga maana ziko kama 4!

Ila ukakasi umekuja, kuna namna naona imefanywa kwa maana kuna security fee ati natakiwa nilipe ili ku secure kazi nadhani. Sasa huu utaratibu upo kweli maana mie ni mgeni humu freelancer nisije nikaingia hasara tu. Wazoefu mje mnitoe tongotongo GLOBAL CITIZEN
 
The Best Option ni kutumia Payoneer nimeitumia kwa mwaka wa 5 now na nimeshahamisha zaidi ya dollar 17000 toka freelancer na kesho nahamisha
Mkuu ukibid kazi kuna security fees unalipa kwanza?
 
Wakuu mie nimefungua account na nime Bid for job kadhaa! Kuna mtu kanitumia email akanipa sample ya video jinsi kazi anavyotaka ifanyike. Sasa nimeangalia nikaona kuna uwezekano nikafanya hio kazi akaniambia nifungue projects folder niangalie ipi inayonifaa kisha nimrudie ku confirm ni project gani ntapiga maana ziko kama 4!

Ila ukakasi umekuja, kuna namna naona imefanywa kwa maana kuna security fee ati natakiwa nilipe ili ku secure kazi nadhani. Sasa huu utaratibu upo kweli maana mie ni mgeni humu freelancer nisije nikaingia hasara tu. Wazoefu mje mnitoe tongotongo GLOBAL CITIZEN
Hapo lazima upigwe,hakuna kulipa,wewe ndo unalipwa
 
GLOBAL CITIZEN jana nimehamisha kiasi cha dollar 300 toka upwork to payoneer then nika draw kwa njia ya atm. Mpaka leo salio bado linasoma vile vile maana nilikuwa nina dollar 54 huko so jumla zilifika dollar 354 ila kiasi cha dollar nilichotoa ni 184 yani laki 400000 lakini salio mpaka leo bado linasoma dollar 354 na wala hiyo transaction kwenye payoneer haionekani kamailifanyika.

Sasa najiuliza nimepata bahati au watakuja kukata hiyo ela baadae? Ushawahi kukutana na jambo kama hili.
 
Mkuu hii comment yako sikuiona kabisa. Ndiyo naiona leo.

Binafsi sinakutana na hii kitu.

Hopefully Payoneer walikata pesa uliyo withdraw
 
Back
Top Bottom