Nimejitolea kumsaidia BINTI kiasi cha flani cha pesa sasa roho inaniuma najihisi HATIA

Nimejitolea kumsaidia BINTI kiasi cha flani cha pesa sasa roho inaniuma najihisi HATIA

Joined
May 23, 2022
Posts
92
Reaction score
339
Msaada kisaikolojia tafadhali!

Leo niliitwa na mmoja wa waalimu wake kuwa kuna safari wanafunzi wanapaswa waende wiki hii inayoanza. Mwalimu wake alinikuta na watu wa3 tulikuwa tunazogoa.
Alivyonitajia kuwa kuna binti mwanafunzi mmoja anatamani kwenda ila pesa hana nikamjibu palepale kuwa ajiandae aende nita clear.

Tulikuwa watu wa4 wakati huo na sasa roho inaniuma sana kwanini nilimsaidia mbele ya watu hao?
Nimekuwa na utaratibu wa kusaidia mtu tukiwa wawili na sometimes hata hajui kuwa nimetoa chochote sababu SIPENDI tu kujulikana hasa kama nikimsaidia mtu.

Si kwamba hiyo hela sina ila najisikia hatia kuitoa watu wakiwepo na wakisikia.

Roho inaniuma sana na sijui nifanyeje ili kuepukana na hii hali leo, kesho au hata siku zijazo. Nifanyeje?
 
Wewe bila shaka ulisahaulika kwenye msako wa Magufuli na 30 zake, hapo hujutii kutoa msaada bali unajutia kuuza sili za kambi kibwege mbele za watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom