mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 498
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nimejitoa mitandao yote nimebakiza Jamii forum tu.
Sababu zilizopelekea ni sababu za kimaadili , kiukweli kwenye hii mitandao ya kijamii hamna lengine la maana zaidi ya mind programming za mzungu na ustarabu wa magharibi tu.
Picha za matusi ndio usiulize huwezi fungua page ya instagram bila picha za ovyo mambo ya ovyo ovyo.
Nimetathimini nimeona faida ni chache zaidi kuliko hasara, kwanza kwa kipindi chenyewe hiki ukienda ovyo unaweza ukajikuta upo nyuma ya nondo kwa ajili tu keyboards zako.
My only hope kwa sasa katika kujipatia habari za kidunia kwa maadili yanayoendana na ustaarabu wangu ni Jamii forum tu..
Nawakilisha.