Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.

Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.

Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!

Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"

Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.
​
Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.

Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.

Mithali 17 : 1
Afadhali mego kavu pamoja
na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi
pamoja na magomvi.
 
Ok ngoja akuletee UKIMWI ndio utajua maamuzi gani uchukue kwa sasa hivi endelea kupenda
kwani navyosikiaga mapenzi ni upofu ila hii haiapply kwangu

Afadhali umesema, tukishauri wanawake huwa wanadhani tunaona wivu kwamba hatuna wanaume au kama mnajuana atasema unamtaka bwana wake wakati unampa wazo tu ajikinge na ukimwi wa kuletewa nyumbani. Tena mwingine atamwambia bwana ake ili akukomeshe kwa mawazo yake. Akiamka toka usingizini ataona yote vizuri.
Hakuna aliyelea mwanaume akaheshimiwa, mwanaume atimize majukumu yake toka mwanzo hicho ndio kipimo cha kujali hata awe na kipato kidogo, ukianza tu kumpa hela na kufanya majukumu yake utaambulia maumivu kwa sehemu kubwa maana atataka akuoneshe uanaume kwa njia nyingine ikiwemo kuwa na wanawake wengine na kufanya anavotaka.
Wanawake wengine be warned, ni mkosi kumpa hela mwanaume.
 
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.

Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.

Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!

Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"

Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.
​
Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.

Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.

When youfind things are not right, Try to changeyour ways before you change your God.
 
HILI NDIYO TATIZO KUBWA TUNAKOSEAGA,
TUNAPOANZISHA MAHUSIANO HUWA HATUPASWI KUTEGEMEA KUMBADILI MTU(HATUNA GUARANTEE YA KUFANYA HIVYO), TUNAPOINGIA KTK MAHUSIANO HUWA TUNAPASWA KUJIRIDHISHA KAMA KILA MMOJA WETU ANAKUBALI MAPUNGUFU YA MWENZA WAKE.

SASA NDUGU DADA YANGU, USHAURI WANGU UNGEFAA SANA KAMA NINGALIJUA MABADILIKO HAYA YAMEANZA LINI?
MAANA KAMA NI KUVUMILIA UMEVUMILIA SANA,
ILI nitoe ushauri Mzuri Lazima nipate Majibu haya:
1.Lini alianza kubadilika?
2.Je Mliwahi kugombana kwa sababu ya usaliti?
3.Unadhani wewe unamheshimu na kumpenda pia? Matendo huongea zaidi kuliko maneno.
4.Kwa nini unasema kipato chake kidogo??? TATIZO LIKO HAPA. Wakati mnaoana kipato si ulikijua?
 
1. Kubadilika alianza mapema tu wakati mtoto wetu wa kwanza akiwa mchanga sasa anamiaka kumi
2. Usaliti pia umewahi kutokea kipindi nalea
3. Namheshimu na kumthamini, kumpenda kweli moyo umejaa maumivu zaidi
4. mshahara wake naufahamu, najua kuna marupurupu anapata ofisini kwao ingawa yeye hajawi kuniambia
 
Huyo ni mumeo, na hiyo ndiyo sifa yake!!! mchimba kisima huingia mwenyewe, wewe upo deep unachimba kisima ni vipi unataka kucgimbia kisima kwa juu?
Pambana mtoto wa kike, jiepushe na kinyongo, husuda, na kumuhesabia mumeo makosa. kusamehe kuambatane na kusahau, kinyume chakeeee
ukimuacha utakuwa umemuacha mumeo,
 
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.

Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.

Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!

Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"

Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.
​
Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.

Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.

Pole sana mamaaa . Ushaur wangu , mumeo anaona unampenda sana kwa kuwa unamjali na kumthamin, wanaume wengi ukionesha unawapenda sana wanakuwa na madharau , tena ndo wanachepuka.
Cha kufanya kuwa bze na watoto . Usioneshe kumjali tena akirudi usiku mkaribishe kwa upole na usimulize kwa nini kachelewa. Tabia ya kushika cm yake acha kuanzia leo. Na cm yako kama ulikuwa unaniachia ashike weka password na usimruhusu kuishika.
Jenga tabia ya kutoka na uchelewe kurudi naamin mama yake atamfikishia taarifa kuwa cku hiz unachelewa kurudi. Kuwa bze na cm yan muda wote chat sanasana akiwepo hata kama hauchat na mtu.
Muage kila cku jifanye Una vikao. Mara vikoba, kitchen pty na uchelewe kurudi fanya kwa miez mitatu then utuletee mrejesho
.funga kizaz usizae tena .
 
Pole sana .

Ila ulimpendea nini sura au tabia .

Kama ni sura pole maana wenye sura mbaya na tabia nzuri tunatoswa sana siku hizi.

Mahandsome wakorofi ndo wanapendwa hahahahah.

Pole dada but jikaze hivohivo may be one day atabadilika.

Ova and out!!!
Hahahah sura kaka
 
Unalea jitu miaka 10

Na halikuheshimu

Heeeeee

Kuna wanawake mmebarikiwa ujinga

Unadhani kwa nini walisema mwanaume atakula kwa jasho???
 
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.

Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.

Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!

Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"

Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.

Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.

Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.
Mim uvimilivu kama huo wako nliuacha miaka hyo........ Yani usilazimishe kukaa na mtu asokupenda, asokujali Wala kukuthamini.... Kama unaweza kukaa na kulipa kodi Ina maan unaweza kujitunza mwenyewe na maisha yakasonga...... Endelea kua nae utaishia kupata magonjwa ya moyo tu aiseh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.

Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.

Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!

Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"

Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.
​
Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.

Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.
Mpe Figo na firigisi yako atajirudi na kukupenda
 
Mmefikia wapi
 
Mmefikia wapi
Bado niko nae tunalea familia, msalaba ni wangu nitaubeba hadi hatua ya mwisho niliamua ivo ingawa mpz yaliisha yamebaki mazoea na kama baba wa familia ila nimejikubali naishi kama single mother kwaajili yangu na watoto napambana kisawasawa na Mwenyezi Mungu ananisimamia.
 
Ila mnafanya mapenzi??
 
Heee, watu wengi wanaishi bila furaha bali mazoea.
Yote maisha kulia na kucheka yote makelele.
 
Back
Top Bottom