Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

Nimejitoa kwake lakini hanithamini na ananisaliti

Bado niko nae tunalea familia, msalaba ni wangu nitaubeba hadi hatua ya mwisho niliamua ivo ingawa mpz yaliisha yamebaki mazoea na kama baba wa familia ila nimejikubali naishi kama single mother kwaajili yangu na watoto napambana kisawasawa na Mwenyezi Mungu ananisimamia.
Ila mnafanya mapenzi??
Basi haina shida...endelea ....na anakukuna ipasavyo?
 
Back
Top Bottom