pole sana ,lakini hili ndo tatizo la "KUOA MWANAUME !!dada in short majykumu mengine hukupaswa kuyafanya na huyo mshikaji wako kwa kukosa utu ana take advantage mpige chini uone kama hajalala majalalani
Binafsi najua maisha ni kusaidiana labda niliingilia majukumu yake, lakini inakuaje mtu anaondoka hajaacha pesa ya kula kwa ajili ya watoto wake na ukiangalia mifuko haina kitu! au kuboresha makazi hali uwezo upo.
namehishimu kwakua hata mama mkwe kwa uelewa wake anahisi mwanae ndo anafanya au tunasaidiana
utapoona huyo mzushi hela ya mcheuko hua anaitoa wapi?Binafsi najua maisha ni kusaidiana labda niliingilia majukumu yake, lakini inakuaje mtu anaondoka hajaacha pesa ya kula kwa ajili ya watoto wake na ukiangalia mifuko haina kitu! au kuboresha makazi hali uwezo upo.
namehishimu kwakua hata mama mkwe kwa uelewa wake anahisi mwanae ndo anafanya au tunasaidiana
utakapo letewa mtoto uleee wa wanawake wenzio akili itakukaa sawa.............. we nae umekuwa tahira kiukweli kabisaBinafsi najua maisha ni kusaidiana labda niliingilia majukumu yake, lakini inakuaje mtu anaondoka hajaacha pesa ya kula kwa ajili ya watoto wake na ukiangalia mifuko haina kitu! au kuboresha makazi hali uwezo upo.
namehishimu kwakua hata mama mkwe kwa uelewa wake anahisi mwanae ndo anafanya au tunasaidiana
Nimeolewa miaka kumi iliyopita na nina watoto watatu.
Tatizo nikiumwa huyu mume wangu hajali, yaani hata kukuulza unaendeleaje akuulizi, mwaka jana nilijifungua kwa operationi alikaa wiki moja siku zilizofuata akawa anarudi saa saba usiku na kuendelea, nakumbuka siku msimu wa Crismas aliondoka terehe 24 na kurudi 26 asubuhi ukimuuliza eti alikua na marafiki zake wanapiga story bora ingekua akirudi anakuja na pesa, hakuna.
Mimi ndiye ninaehudumia familia tulikua tumepanga, kodi ya nyumba umeme maji ada za watoto mimi mama mkwe nae alikua ana makazi kodi umlipie nikaamua kumchukua na tunaishi nae kupunguza gharama za maisha. Nikamwambia ahudumie chakula tu nacho hawezi.!
Lakini bado mume wangu hanithamini kurudi usiku wa manane, juzi kawahi kurudi kwenye simu yake nimekuta msg moja tu "najua haupo nyumbani mbona hujanitumia" nikamjibu yuko nyumbani nami ni mkewe unashida gani pia anamahusiano gani na mume wangu? Anielekeze kwake ili nikaongee nae! Akaniambia "muuluze mumeo anajua pa kunipata"
Najua kipato chake ni kidogo, mimi sitaki aniabudu ila nahitaji heshima na upendo tu.
​
Nimeleta huku kwakua ndani ya miaka kumi nimekua nikimwabia bila mabadiliko na wala hajibu chochote, siku 2, ya 3 anarudia vilevile.
Naomba ushauri wa kujenga wanajamvi.
Ok ngoja akuletee UKIMWI ndio utajua maamuzi gani uchukue kwa sasa hivi endelea kupenda
kwani navyosikiaga mapenzi ni upofu ila hii haiapply kwangu
Ok ngoja akuletee UKIMWI ndio utajua maamuzi gani uchukue kwa sasa hivi endelea kupenda
kwani navyosikiaga mapenzi ni upofu ila hii haiapply kwangu
The Boss. Miaka kumi unavumilia na mtu haonyeshe hata robo ya mabadiliko kwwli anahitaji ushauri mwisho wa siku atakuja kujiua.....hebu jitafakari unauwezo wa kujitegemea wewe na wanao bado umeshindwa kufanya maaumizi kuna wale wanawake wanafanyawa mambo kama hayo wanashindwa kuondoka kwa vile hawana pa kwenda hadi wanakufa kwa mateso..... Mkuu fikiria tena kwanini uteseke na maisha ndio haya hakuna mengineEti mama mkwe ukashindwa kumlipia ukamleta kwako muishi nae..
wewe labda viboko ndo vitakusaidia..........
tafuta psychologist kwanza matatizo yako yako so deep
huyo mume hata akikuacha utaenda kutafuta 'kimeo' kingine hatari kuliko hiko
'una slavery mentality'......unataka uwe mtumwa kwa mtu ndo ujione 'unapendwa'
na jitahada zako za 'kitumwa' ndo unaona sifa na uvumilivu...
tatizo lako liko so deep......wanawake wa aina yako huwa wanaolewa na kimeo kama chako
ndugu wakijitahidi uachane nacho huja kuolewa na kimeo kikali kuliko hiko
ndo wale unasikia 'alipigwa na mumewe hadi akavunjwa mguu'
au wengine anapigwa hadi kifo na 'mumewe'
.
Hilo neno uwa linakarahisha moyo wangu sana, majibu ya aina hii hayavutii na hayatii moyo, zaidi yanamuongezea maumivu mwathirika wa tatizo